Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

mmh ukipata utuletee mrejesho
Hahaha unataka mrejesho wanini we mwanakondoo wangu, ili nawe uje hapa kuweka bango unatafuta?? wakati kanisani kwetu wapo vijana mahiri, watanashati na wenye weledi kama nilivyo mchungaji wao
 
Mmmmh,haya wenye vigezo good luck lakini naona kama kwenye mapenzi ya kweli utachemka,hayo mapenzi ya kweli uta yapata kwa MAMA sio kwa mume,muhimu uwe na subra na uvumilivu...
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Mimi pia nahitaji mwanamke na nmeajiliwa serikalini
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Moyo kazi yake kusukuma damu, endelea kusaka unayemtaka, akikupa raha mpaka mwisho wa maisha yako kwa kile unachoamini, nitakupa zawadi. Nakuahidi kwa dhati kabisa, maana naona unasafiria katika ndoto
 
Ninaye rafiki yangu ana sifa kama unazo taka ww nicheki nitakupa namba zake
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Nna 6foot,mweupe,31yrs kwenye dini nimefeli
 
kama hamna kupima ukimwi fresh.. nambie nije pm..!!!!
 
Weupe wangu umenitoa kwenye kinyang'anyiro
 
Back
Top Bottom