Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Utawapata kibao... unataka kuchanganya rangi sio..?
 
Kila la kheri ila mnatakiwa kuweka picha ili wafanye usaili na wenyewe
 
Mwenye mapenzi ya kweli kwa nani, maana mapenzi ya kweli sio masikio kwamba kila mtu anazaliwa nayo. Tafuta wale unaoishi nao. Usipopata kwa wale unaowaona huku kwenye ID feki (usiotuona) hutapata.
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Ngoja waje wenye sifa zao sisi wapenzi watazamaji
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Weka picha yako tukuone..tuone yaliyomo yamo?
 
ETI MAPENZI YA KWELI KENE SOSHO NETIWEKI MWEEED..... SEMA UNATAFUTA NJEMBA YA KUGEGEDANA NAYE NA SIYO TRUE LAVU.... MAPENZI YA DHATI YANA STEP ZA HAYAJI KUPITIA ADVERTISEMENTS ZA SOSHO MEDIA KA HIVI.... WATU MNAKUTANA SOME WHERE MNAFAHAMINA MNAJENGA UKARIBU DHENI MNAJIKUTA AUTOMATIKALI MNAELEWANA NA SIYO HAYA UNAYOYATAKA WEWE. .....
 
Unaposema mapenzi ya kweli uunamanisha nini?
Je,kwa upande wako neno mapenzi humaanisha nini?
Je,kwa upande wako neno ukweli linamaanisha nini?

Ukiweza kunisaidia majibu ya mwaswali yangu nitashukuru.
 
Back
Top Bottom