Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Endelea nae tuu maana huyo Demu lazima atakuwa pisi tuu!! Kama watu wawili wote mmemuona yeye tuu....Ila akirudi usisahu kutuletea mrejesho maana wafumaniaji tuna mbinu nyingi za kufumania huenda jamaa yupo maeneo anakuvizia tuu...Kakupoteza s.A ili ujiachie Akuvishe shanga vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwanini mfumanie sasa? Mnaua ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe!
[emoji23][emoji23]Natania tu!
 
Andaa mafuta, andaa taulo la kujifutia anza kujifunza style za kuinama mapema...... Anaekula Cha mwenzie na chake uliwa..... UTAKULWA UTANYWEWA SUPU UTABEBWA KWA BEGA
 
Hapana yupo South hata namba alionipigia niyasauzi
 
Sikuhizi ukijaa kwenye anga za watu wanakuchekecha vizuri firigisi, utumbo, maini, bandana na ugali wa dagaa uliokula vinavurugana humo tumboni alafu wanakuacha unaenda kufia mbele huko. Petrol bei juu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ivi hii ipo kweli
 
Dah [emoji22] Sawa
 
Tutakuja kwenye matanga usijali endeleeni tu
 

Kama bado hajakutoa marida, basi jiandae kutolewa.
 
Umepewa onyo bado husikii acha tu ufir** akili ikukae sawa na uje umalizie ile story yako ya kubumba.
 
Kukuonya amekuheshimu Sana, endelea subiria matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…