Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji848][emoji848][emoji848]KIAYIWake za watu au wanawake wakubwa wanasumbua sana, hasa ukiweza kumpelekea Moto kila atakapohitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848][emoji848]KIAYIWake za watu au wanawake wakubwa wanasumbua sana, hasa ukiweza kumpelekea Moto kila atakapohitaji
Hayo ndomaneno, jamaa anatuma pesa mke wake ananipikia msosiAchana nao hawa wasikutishe, wee piga huyo demu kula utakavyo.
Fake story. Ingekuwa kweli usingeiweka humu na ungekuwa umeshaacha!Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna. Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.
ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.
Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.
Kama mimi tu! Kumbe ndo maana nazimika kwa wake za watu na wao wananikubali! Basi Manzese kuna ka pepo ka ujasiri kanatusumbua!Mm mwenyewe toto la town nimezaliwa tandale nimesoma manzese sekondari advance nikasoma Benjamin chuo nimesoma UDSM saizi nakaa Buguruni
Saw bas mkuu nimekuelewa bas tuwaaache hawa wake za watu kmmk tutakuja fumuliwa rinda HV HV mm leo aabh niliwaza nikaona sioni sababu niendele kuhujumu hi ndoa ya watu acha nimteme mazima na sita kuwa karibu nae Tena penz alilonipa unatoshaKwahiyo juzi ndoleo. Au kusafiri kutoka marangu mpaka Dar unatumia miaka mingapi mkuu
Kwa kauli hii tu, umethibitisha story yako si yank6weli. Unatuchezea akili tu!Hii nchi bhana, ukipata bahati ya kupendwa, nyota imekuwakia watu wanaanza shobo, majungu na wivu tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dadeq [emoji1787][emoji1787]pakaoza na ndio kifo chake kikawa hicho
Alfu wew cheka cheka tu hapa wakt mke yule anaenipa utamu wa mume wake Ni mngoni mwezako yaani mngoni Hana shida yule mpk 0713 ananipa niingize kidgo tu ila siyo lote lizame acha kbsaa mngoni kadatana mm na simpi hata Mia mbovu wangoni hoee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaaah.
We Fata maisha yakoUnakera mwanangu hivi ukigongewa wewe utajisikiaje, acha ujinga
Kwake naendaga mara chache sanawake wa watu watamuu, mi nikigunduwa mumewe kanijuwa huwa naleft chat, eti unaenda hadi kwake alooo iyo ni hatari
Duh kisa mke wako tu unatoa umauti wa binadamu mwenzakoYaani kuna jamaa alikuwa kama ww hivyo hivyo akaonywa mara 3 alikaidi cku alakamatwa na mwenye mke akapigwa ngumi moja laini kwenye chembe ndio basi hiyo pakaoza ile sehemu na ndio kifo chake kikawa hicho cha kujitakia
izo izo marachache usirudie tena kuanzia leo , sisi pia tunafanya ayo mambo ushauri wangu punguza movement na uyo mwanamke, utakuja ingia matatizoniKwake naendaga mara chache sana
grow up,sio lazima kila siku kuanzishe upuuzi JF
Njaa itaponza makalio yako na utapakatwa
Amini Saidi kuwa Saida Ni Jambo dogo sana