Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Kukupiga sio lazima atumie mikono yake anaweza akakupiga kwa kutumia hata watu, kua makini mzee, Kimbia kabla hujakuja na uzi mpya hapa "Yaliyo nikuta baada ya kutembea na mke wa mtu"
Sure [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hivi vijana inakuwa umelogwa mpaka mwenye mume anakwambia achana na mke wangu wew unakomaa tuu..??? watu wanauliwa kila siku kisa ujinga huo na wewe bado hujifunzii tuu?? Kijana wanawake ni wengi sana haina maana kufa kisa mke wa mtu achana nae...
 
Watu mna roho ngumu sana yaani, mimi hata demu nikishajua yupo tu kwenye mahusiano na mtu hapo hapo napotezea, wanawake wapo kibao sana sijakosa mpaka ning'ang'ane na mali ya mtu, mwisho ufe tu kwa uzembe usio na maana
 
Wake za watu au wanawake wakubwa wanasumbua sana, hasa ukiweza kumpelekea Moto kila atakapohitaji.

Atakuganda sana, ila ninakushauri ufumbue akili yako mzee kabla haujachelewa.

mpwayungu village
 
Wake za watu au wanawake wakubwa wanasumbua sana, hasa ukiweza kumpelekea Moto kila atakapohitaji.

Atakuganda sana, ila ninakushauri ufumbue akili yako mzee kabla haujachelewa.

mpwayungu village
Mm mwenyewe toto la town nimezaliwa tandale nimesoma manzese sekondari advance nikasoma Benjamin chuo nimesoma UDSM saizi nakaa Buguruni
 
Kwani kakwambia atakupiga yeye???Endelea tu mkuu ila jua dunia sio nzuri kama unavyoiona wewe iko siku utakuja kujuta ..
 
Wanakuwa watamu sana halafu kila siku ananiletea chakula gheto yani hadi raha utamu [emoji39]
Kmmk wew au Ni yule wangu nn mnk hata hyu wangu ananiletea chakula na Kuja geto kufua na kunipikiaa juz kampigwa Sana na mume usku na sijajuwa Hadi leo kwann kapigwa Kia's hcho dah alipigwa nusu kufa Ni vilio vilisikika na watu kufunya mlango kwenda kuamua yaani

Nafatilia kwa ukaribu Sana kwann alipasuluwa na mume wake
Za chini chin kbsa zinasema alifumwa na msg za mapenz Sasa mnk Ni kuwa huyu mwanamke Ana date na mtu mwingine mnk mm sinaga time ya kutuma msg Wala nn Ni kupiga tu simu au hlw inatosha Sasa huko inasemekana alifumwa na msg za mapenzi
 
Haaaa! We mjanja sana mkuu, kula tu huyo mke wake, kwani ni mwembamba hana nguvu, hawezi kukupiga.

Ila andaa hicho unachokalia, atakuja kukuporomosha mavi kwa kif.iro cha fumanizi, tena njemba zenye dudukojo kama mguu wa mtoto ndo zitakushindilia huyo kwenye mtaro wako. Yeye unayemwita mwembamba hana nguvu atakuwa pembeni anatoa maelekezo namna ya kukupelekea moto.

Endelea tu, wewe mjanja. Utakipata unachotaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Kila nikifikiria ninavyotinduaga ukuta ili kuweka bomba za umeme[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]naImagine kutinduliwa marinda utaFeel aje[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaaah.
 
Na uzuri ni kwamba hili bandiko lako ushaacha wosia Jei Efu

Mwendo umeumaliza mkuu
 
Mm mwenyewe toto la town nimezaliwa tandale nimesoma manzese sekondari advance nikasoma Benjamin chuo nimesoma UDSM saizi nakaa Buguruni
Wee mpwayungu acha uongo wwe juz ulisema upo marangu na ungetuwakilisha kwenye msiba wa member mwezetu Leo Tena uko buyuruni
 
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna. Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.

ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.

Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.
Endelea mpaka siku akodi minjemba ije ikujamii halafu utaamua uache au uendelee na upumbavu wako
 
Wee mpwayungu acha uongo wwe juz ulisema upo marangu na ungetuwakilisha kwenye msiba wa member mwezetu Leo Tena uko buyuruni
Kwahiyo juzi ndoleo. Au kusafiri kutoka marangu mpaka Dar unatumia miaka mingapi mkuu
 
Back
Top Bottom