F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Sep 25, 2024 #1 Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.