D De-zerbi Member Joined Mar 7, 2024 Posts 82 Reaction score 103 Mar 13, 2024 #1 Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Mar 13, 2024 #2 Acha kupiga mayowe wacha tuje kuona ulichofanya, umekosea sana kutuambia unachotaka kufanya kabla, nasikitika kusema hutafanya! Pole sana.
Acha kupiga mayowe wacha tuje kuona ulichofanya, umekosea sana kutuambia unachotaka kufanya kabla, nasikitika kusema hutafanya! Pole sana.