Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Tumia AZUMA hii ni kiboko yake, baada siku tatu nipe mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshapita hapo pia. Nilichoma Powercef kwenye mshipa kwa siku 5 mfululizo ikifuatiwa na capsules amoxycillin kwa siku 5 tena lakini sikuona tofauti yoyote. Yaani hata sielewi??Kagonge sindano 5 direct kwenye mshipa mkononi wiki tu unapona. Sijui inaitwaje dawa ila ukifika dispensary kokote wanajua. Wanapiga kwenye mshipa inaingia kazini wiki mwili sumu yote kwaheri.
Tatizo huku mikoani kipimo cha culture and sensitivity hakipatikani.Moja ya dawa ambayo imezidi kuwa resistant kwa watu wengi ni hiyo Ceftriaxone, hivyo makampuni ya kutengeneza dawa yakaiboresha na kuiongezea dawa nyingine in combination. Hiyo combination ndio iko super kwa sasa sijawahi kuona ikifeli. Now wameleta inaitwa Cetriaxone+Sulbactam+Disodium EDTA. Ila ceftriaxone yenyewe kama yenyewe imeshaanza kupungua makali ishu ya antibiotic resistant inazidi kushika kasi.
Kikubwa akafanye sensitivity kujua dawa ipi itamtibu asibahatishe.
Wengi wameshauri nifanye Culture ya mkojo. Nimekuwa kwenye antibiotics kwa muda sasa bila mafanikio. Ni muda gani (duration) unafaa kuacha antibiotics kabla ya kufanya culture maana nasikia ukipima ukiwa unatumia antibiotic au muda mfupi baada ya kuacha kutumia haitoi majibu.Lazima afanye culture and sensitivity ili kujua dawa iko sensitive au resistant, kuna mda doxy zinakua resistant so lazma ifanyiwe sensitivity kujua itamtibu au vp
Diagnosis uliyokwishafanya na conclusion uliyofikia sio sahihi. Sijawahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile tangu nimezaliwa.Unasumbuliwa na Protozoan aina ya trichomoniasis na sio bacteria. Una tabia ya kufanya kinyume na maumbile? Piga nikuelekeze dawa ya hospital na mitishamba utapona. 0762766665
Kama maelezo yangu yanavyojieleza, nimepimwa tezi dume nikaambiwa tezi haijaongezeka kutokana na aging kama ilivyo kawaida kwa tezi hiyo ila imevimba (inflamed) sababu ya maambukizi ya uti. . Ndio maana option ya tiba ikawa ni dawa badala ya upasuaji.Nenda ukapime na tezi dume mana hizo dalili kama zinafanana
Nikupe dawa. 0762766665Kama maelezo yangu yanavyojieleza, nimepimwa tezi dume nikaambiwa tezi haijaongezeka kutokana na aging kama ilivyo kawaida kwa tezi hiyo ila imevimba (inflamed) sababu ya maambukizi ya uti. . Ndio maana option ya tiba ikawa ni dawa badala ya upasuaji.
Habari CatherineKaka, mimi ni mwanamke nilishasumbuliwa sana na UTI Japo yangu sio hiyo complicated, bali ilikuwa sugu, nilikunywa sana antibiotics, nilichoma sana pawercef ila tatizo linarudi wiki tu baada ya kumaliza dose, maumivu ya tumbo kwenye kinena yalinisumbua mpaka nikahisi nina tatizo kwenye kizazi ikabidi nikamuone gynecologist nikakuta kizazi hakina shida, yeye mwenyewe akabaini ni UTI inanisumbua, akanipa dawa bila mafanikio, nikahamia upande wa tiba miti(medicinal plants) nimekunywa blacks seeds oil na kalinji seeds powder mpaka nimepona. Kuanzia mwaka juzi mpaka leo nikipima UTI sina. Nenda maduka ya asili wana dawa nyingi za kutibu hayo maradhi kaka ulizia unga wa habat soda au mafuta ya habat soda uwe unakunywa katika chai au uji, maduka ya asili yaliyo karibu nawe utapata
Umeblock DM,ila nilikuwa na jambo LA kukuuliza.Kaka, mimi ni mwanamke nilishasumbuliwa sana na UTI Japo yangu sio hiyo complicated, bali ilikuwa sugu, nilikunywa sana antibiotics, nilichoma sana pawercef ila tatizo linarudi wiki tu baada ya kumaliza dose, maumivu ya tumbo kwenye kinena yalinisumbua mpaka nikahisi nina tatizo kwenye kizazi ikabidi nikamuone gynecologist nikakuta kizazi hakina shida, yeye mwenyewe akabaini ni UTI inanisumbua, akanipa dawa bila mafanikio, nikahamia upande wa tiba miti(medicinal plants) nimekunywa blacks seeds oil na kalinji seeds powder mpaka nimepona. Kuanzia mwaka juzi mpaka leo nikipima UTI sina. Nenda maduka ya asili wana dawa nyingi za kutibu hayo maradhi kaka ulizia unga wa habat soda au mafuta ya habat soda uwe unakunywa katika chai au uji, maduka ya asili yaliyo karibu nawe utapata
UTI dawa yake 0762766665FIda