Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
1726945794986.jpeg

Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali

Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka maandiko akikemea Rushwa na kuonesha nini kinatakiwa kifanyike kuondokana na hali hiyo

Kutokana na hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtunuku Tuzo kwa kuonesha uzalendo wa kuandika kutaka utatuzi wa changamoto za Rushwa.

Andiko lake lililoshinda:
- SoC04 - Mfumo wa usalama barabarani uboreshwe ili kudhibiti foleni, ajali na rushwa. Jina la mfumo: Intelligent Road Traffic Monitoring System (IRT-MS)
 
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali

Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka maandiko akikemea Rushwa na kuonesha nini kinatakiwa kifanyike kuondokana na hali hiyo

Kutokana na hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtunuku Tuzo kwa kuonesha uzalendo wa kuandika kutaka utatuzi wa changamoto za Rushwa
Kuandika na kusema sawa! Matekelezo ni shughuli nyingine, heri amechukua milioni tano huyo ndugu lakini rushwa itabaiki ni msamiati tutakao uzungumza kesho na kesho kutwa kama ilivyo leo jana na juzi.
 
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali

Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka maandiko akikemea Rushwa na kuonesha nini kinatakiwa kifanyike kuondokana na hali hiyo

Kutokana na hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtunuku Tuzo kwa kuonesha uzalendo wa kuandika kutaka utatuzi wa changamoto za Rushwa
Mimi nimekua nikipambana na CCM Zaidi ya miaka 15 hapa JF Naomba mnikumbuke jamani
 
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali

Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka maandiko akikemea Rushwa na kuonesha nini kinatakiwa kifanyike kuondokana na hali hiyo

Kutokana na hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtunuku Tuzo kwa kuonesha uzalendo wa kuandika kutaka utatuzi wa changamoto za Rushwa
Hongera kwake
 
Back
Top Bottom