JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka maandiko akikemea Rushwa na kuonesha nini kinatakiwa kifanyike kuondokana na hali hiyo
Kutokana na hilo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtunuku Tuzo kwa kuonesha uzalendo wa kuandika kutaka utatuzi wa changamoto za Rushwa.
Andiko lake lililoshinda:
- SoC04 - Mfumo wa usalama barabarani uboreshwe ili kudhibiti foleni, ajali na rushwa. Jina la mfumo: Intelligent Road Traffic Monitoring System (IRT-MS)