Nathaniel Chilambo anachotumia watu wakigundua sijui itakuaje ? Namshangaa sana kila sehemu uwanjani unamkuta

Nathaniel Chilambo anachotumia watu wakigundua sijui itakuaje ? Namshangaa sana kila sehemu uwanjani unamkuta

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Mi nashindwa kumwelewa. Nadhani huko mbeleni tutamwona kipa akiwa katoka anadaka si kwa sifa hizi anazotaka.

Mi mpaka leo sielewi anacheza namba ngapi huyu jamaa. Kama anatumia dawa kwa kweli hizo dawa watu wakizingundua nao wakaanza kutumia mpira wetu utakua sana. Haiwezekani.

Namshangaa Nathaniel kila sehemu uwanjani unamkuta. Ukienda mbele unamkuta, ukirudi nyuma unamkuta. Ukienda kushoto unamkuta, ukirudi kulia unamkuta. Ukija kati unamkuta. Huu uchezaji atachoka mapema sana kucheza mpira asidhani yeye ni Simba sana kuliko wengine. Ana chezea Sifa.
 
Mpira uko hivyo unaweza kucheza timu ukashindwa kung'ara ukaenda kwingine ukawaka kama Mohamed Salah wa Chelsea na Vitinha wa Wolves ni wachezaji tofauti kabisa na wale wa Liverpool na PSG mtawalia.
 
Kusoma hujui hata picha? We mtu gani kila sehemu yupo. Atakuwa anajidunga tu huyu dogo
Muda mwingi anatumia kusoma bible na kuimba na kusifu jina la Mungu baada ya hapo ratiba za mazoezi ni kama Max Nzengeli alivyo....
Sasa utamfananisha na mchezaji anaeshinda kitamba cheupe? Kila sherehe yupo...
Chomeni bwana na nyie sindano bana kama kuchoma hakuumi...
Au zilikua zinauma sana mkaacha..😃😃
 
Daaaaahhhhhhh..... Sasa mbona siku ile tumechoma na Azam mlipiga kelele sana nyie waja?
 
Back
Top Bottom