SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
kweli kabisa maana hata akina Zimbwe, Mkude, Chama na Mwenda walipokuja waliweka watu benchi..Yanga ilikuwa tumchukue lakini hakukuwa na mtu ambaye Chilambo anaweza mweka bench pale Yanga
kweli kabisa maana hata akina Zimbwe, Mkude, Chama na Mwenda walipokuja waliweka watu benchi..Yanga ilikuwa tumchukue lakini hakukuwa na mtu ambaye Chilambo anaweza mweka bench pale Yanga
Alikivuruga kiungo cha back cooking spoon! Kina ngoma na mudathir wakaona hadi nywele zao nzito!Mi nashindwa kumwelewa. Nadhani huko mbeleni tutamwona kipa akiwa katoka anadaka si kwa sifa hizi anazotaka.
Mi mpaka leo sielewi anacheza namba ngapi huyu jamaa. Kama anatumia dawa kwa kweli hizo dawa watu wakizingundua nao wakaanza kutumia mpira wetu utakua sana. Haiwezekani.
Namshangaa Nathaniel kila sehemu uwanjani unamkuta. Ukienda mbele unamkuta, ukirudi nyuma unamkuta. Ukienda kushoto unamkuta, ukirudi kulia unamkuta. Ukija kati unamkuta. Huu uchezaji atachoka mapema sana kucheza mpira asidhani yeye ni Simba sana kuliko wengine. Ana chezea Sifa.
Si kama Kante Tu😀Kusoma hujui hata picha? We mtu gani kila sehemu yupo. Atakuwa anajidunga tu huyu dogo
Daaaaahhhhhhh..... Sasa mbona siku ile tumechoma na Azam mlipiga kelele sana nyie waja?
Yaani mmuchukue Shabalala na Mwenda halafu mseme hakuna mtu wa kumweka benchi, huko kwenu wenye akili ni wawili.Yanga ilikuwa tumchukue lakini hakukuwa na mtu ambaye Chilambo anaweza mweka bench pale Yanga
Kula chuma hiko...Huyu mzee atakuwa na shida za kiuchumi, hana elimu na anaishi uswahilini. Hata Mo Dewj mwenyewe hawezi vaa nguo ya namna hii
UmemalizaaaaMazoezi makali, chakula sahihi na kupumzisha mwili kwa wakati.
Wachezaji wengi wa Simba hivi sasa wana nguvu kasi na wepesi.
Hiyo ndiyo kazi ya benchi la ufundi
Mkalaboko :" Nathaniel Chilambo ndiye mbeba bakuli la uji, anapewa awagawie wafuturishaji, kwa maana mashambulizi yote ya Simba yanaanzia kwake, ndiye fullback bora wa kulia nchini Tanzania kwasasa, kinachomfanya kuwa bora ni Ambidextrous, anauwezo wa kutumia miguu yote kwa kasi na nguvu ile ile"
Yaani mmuchukue Shabalala na Mwenda halafu mseme hakuna mtu wa kumweka benchi, huko kwenu wenye akili ni wawili.