FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!