National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
wa2 wanakunywa smart na vichwa na miguu ya kuku,unategemea watazaliana vipi!!!!,,,,,????,,,,,,,,wakila chakula bora san supu ya mapupu!!!!!
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Mimi naona crisis iliyopo ni homelessness hasa dar. Ukipita usiku utakuta watu wamelala kwenye mafremu na vituo vya madaladala na katikati ya barabara hasa manzese.
Suala la vijana kupotea limechangiwa na ugumu wa maisha kwa kiasi kikubwa.
 
Mkuu hii nchi ni kubwa sana. Hata kama umetembea sana nadhani itakuwa umetembelea ukanda fulani tu na sio nchi nzima. Watu wapo wengi sana. Ukibahatika kutembelea maeneo yanayolimwa kilimo cha kibiashara utaona mashamba ambayo unakatiza masaa kwa masaa kwa gari. Kuna watu wana mifugo idadi yakushangaza, mashamba malaki ya hekari.

Jaribu kutembelea kanda tofauti tofauti utajionea mengi.
Nakubaliana na wewe
Nilienda Kijiji flan nikakuta mtu ana shamba eka 1000 na Ng'ombe 20,000
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Seriously ? Kwahio unataka kusema kwamba population imepungua ? In short urbanization watu wamerundikana sehemu moja, hao watu ambao wangekuwa wanakaa huko vijijini kwenye nyumba zao za Msonge (which is very sustainable nature wise) wengi wao wanalala kwenye mitaro mijini usiku na asubuhi ndio wabangaizaji..., vilevile tatizo la watu kujenga / kuchukua ardhi kubwa wachache imepelekea hata sehemu za mashamba / misitu kuzidi kupotea..., Ndugu zetu kina tumbili na flora zinazidi kupungua... Hivyo inabidi huko baadae tuanze kujenga kwenda juu na kuishi magorofani kama njiwa.....

In short hakuna planning na sustainability.., Kwa jicho la Nature binadamu ni kirusi hatari sana ambaye ni threat kwa other living things (though we are not as detrimental as developed countries)
 
Idadi ya vijana unao wasemea haiwezi kufika 30 million!
Je hao walio Baki 30 millions plus wako wapi?
Bila kujali usahihi wa takwimu za Sensa, tupo wengi kulinganisha na uwezo wa kujihudumia. Hii unaipima kirahisi tu, thamani ya ubinadamu. Ukiona ipo chini ujue mmeshakuwa wengi. Wingi haupimwi kwa idadi tu, unapimwa kwa uwezo wenu wa kujihudumia huku thamani ya uhai wa binadamu ikionekana.

Maisha yanakosa thamani mnapokuwa wengi kupitiliza. Unafika hospitali una tatizo la kifua kuna wenzako 100 wana tatizo hilo hilo, kama hamna pesa mnalundikwa hapo kama ng'ombe huduma mbovu. Sorting ya huduma inadepend na pesa si value ya uhai wako, why? Mpo wengi.

Huko vijijini kipindi fulani hapo nyuma kijana akifa ni tukio baya sana na litajadiliwa hadi na wazee, sasa hivi boda zinawachinja wala hakuna anayejali, kwanini? Kitu kikishakuwa kingi kinakosa thamani.

So, tusipime wingi kwa idadi ya makaratasi au takwimu. Tutazame thamani ya mtanganyika ipo kwa kiwango gani? Watu kibao hawana ajira wanazurura tu, na hapo ni wasomi, achilia mbali wasio na shule kichwani, je tukidouble hali itakuaje?
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Mmh labda vijiji vya ukanda fulani........kijijini kwetu kwa sasa watu wameongezeka kuliko ilivyokua zamani......nakumbuka enzi zile ukienda kijijini eneo la mzee mmoja hadi kulimaliza unapiga hatua za maana ndo unaingia eneo la mtu mwengine, ila kwa sasa vijumba vimepakana karibu sana na yale maeneo ya wazee vijana wakaja kurithi wakamega vipande kuuzia wageni,, kwa sasa hapo kijijini wageni ni wengi kuliko wenyeji wa enzi hizo
 
Hii ni mada nzuri sana ni wachache san wanaweza kuhoj na kujiuliza swal.kam hili kiukwel tz hakina watu m60 ni uongo watu hawzai mashog weng lesbian tz hakun watu m60 mbaya zaid hamn hat vita usem wta wamefia vitani
 
Tatizo ni uchumi ila idadi ya watu iko sawa
Uchumi ndo kila kitu ktk maisha na pale uchumi unapishuka mambo meng sana hubadika

Kwa ufupi watu wengi hawana pesa na pesa wanayoipata haitoshi kufanya ziada
 
Niache kurudi mapema nyumbani nikalimwage uno vzuri nifatilie maendeleo ya nchi hii.

Hii ardhi ukiifatilia sana unaweza sema tumelaaniwa.

Fanya kitu Kwa uhalali ishia maisha Yako wahi mapema Kwa makazi Yako - Limwage uno🥳
 
Sensa iliyopita ilikuwa ya kisiasa mno, IPO siku ya uvunguni yataanikwa juani!
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
We unaota? Au uko kijiji kipi
 
Wakati wa sensa watu wamepika sana Data. Inawezekana watanzania tupo zaidi ya 60 millions. Nilikuwa ninafanya kazi ya ukarani wa sensa kwa kufuata procedures kama tulivyofundishwa na wakufunzi, aisee nilitaka kufukuzwa eti nipo slow sana..
Data za UKIMWI ndo zitakushangaza sana,....zinapikwa mpaka zinaunguzwa,....
 
Ndugu, hiko mikoani hata icheze Simba na Yanga, viwanja vinakuwa empty, watu hakuna!! Watu kuzaa hawazai.., kazi kunywa visungura, hasa rombo.., zamamni wamama walikuwa wanazalishwa hadi yai la mwisho, kakoswa koswa sana ni watoto 10! Hivi sasa vijijoni nafuu hata mjini.., watu hakuna, vijana hawazai, na wa kuzaa nao hawapo, tunakuwa kama Japan sasa, what loneliness!!

Hata vinarua wa kazi za ujenzi siku hizi nawatafuta kwa tochi.., wote wamekinbilia visungura, hata kazi hawawezi, kuzalisha hawawezi, kazi hawawezi, fuckn zombies! Wat hopelessness!! Kazi kubet na visungura..
Wasaidie hata kwa mawazo basi sio kuwaita fuckn zombies tu..
 
Million 60, wanafika,..shida kubwa ni mazingira magumu ya biashara, na hivyo wengi tuna maisha ya KUHAMAHAMA,...pia watu wengi unawakuta kwenye vimiji vinavyokua ..
 
Back
Top Bottom