National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Vijiji vya wapi hivyo?
 
Huko ni Arusha na Kilimanjaro
 
kuu.Raslimali za mikoa hiyo kutumika kuendeleza watu wa maeneo yake.Hii itapunguza vijana kukimbilia mijini kwani miji tena mizuri imeundwa karibu na vijijini kwao.Watumishi wengi huchukua likizo lakini hawendi vijijini walikotoka.H
Rasilimali za nchi hutumika kukilinda na kukiboresha Chama cha kijani, kuneemesha magenge ya utawala
 
We uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kung’oa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!
Kwamba serikali iliyofanya sensa iko wrong wewe ndio uko wright?
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Uongo.Taja hicho kijiji. Usikute ulikuwa umeenda mashambani.
 
Wamejaaa simba na yanga siku hizi
 
Mambo mengine yanachekesha Sana

Nyerere wakati anatawala nchi kulikuwa na watu mil 12 nchi nzima.

Leo anaibuka MTU hapa anadai Tanzania Ina watu laki 5 .

Kuna thread ukisoma unajua mtu kaamua kuchangamsha genge .
 
ni kweli ukienda vijiji vingi ni wazee tu wamejaa na hao vijana waliopoteza matumaini wengi wao ni watu wa kubeti tu ili nao waje kuwa kama mondi na ndoto ya kukimbilia mijini. madada wakimaliza shule ya msingi ni kuolewa chap na wengine kuwa hgirls huko mijini. hali hii ipo kwa maeneo mengi. ishu hapo ni nini kifanyike?
 
We uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kung’oa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!
We unao wangapi mkuu?maana imekuuma as if bila hao watu huwez kuish
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
We umeenda igurusi tu huko umekuja kugenelize kwamba vijana hawapo vijijini je umetembelea vijiji vyote?
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Dunia tu imeanza kupungua idadi ya watu.

Elon musk ameshastuka anajenga kijiji, wake zake woote awaweke eneo moja kisha kazi iwe kuwapanda na kuzalisha.

Tate anakwambia plan yake awe na watoto 70.

Magufuli aliposema fyatueni, hakua anafanya masikhara, duniani hakuna watu.

Trump anapiga marufuku ushoga, mijitu haistuki tu, ipo bize kusikiliza yanga na simba na srekari.

Bro! Ukipata nafasi ya kuzalisha, we zalisha, uwe na uwezo wa kuwatunza
 
Tulia uandike vzur kwanza il tujue ww uko wap mjin au kijijin
Nchi hii imebaki tupu, na hali hii inatia huzuni. Watu wengi wameondoka, na vijiji vimekuwa kama mashamba yasiyokuwa na maisha. Wazee wachache wanaosalia wanashuhudia mabadiliko haya, wakikumbuka nyakati za zamani ambapo maisha yalikuwa na shughuli nyingi. Vijana, kwa upande mwingine, wanajikuta wakitafuta njia za kuishi mijini, lakini miji yenyewe inakabiliwa na changamoto nyingi.

Sinza na Tabata, maeneo yaliyojulikana kwa shughuli na maisha ya usiku, sasa yamepoteza mvuto wao. Barabara ambazo zamani zilikuwa na shughuli nyingi zimejaa kimya, na mikahawa na pub zimekuwa tupu. Miji ambayo ilijulikana kama kimbilio kwa vijana sasa inatoa taswira ya kukata tamaa. Hali hii inashangaza na inatia huzuni, kwani watu milioni 60 wanashindwa kuonekana, kana kwamba wamepotea katika kivuli cha miji.

Sabasaba iliyopita ilionyesha wazi hali hii. Siku hizo za nyuma, Sabasaba ilikuwa ni sherehe ya nguvu, ambapo watu walijumuika kuonyesha bidhaa na huduma mbalimbali. Lakini sasa, hali ilikuwa tofauti. Watu walionekana kama wamefichwa, na shamrashamra iliyokuwa ikijulikana imepotea. Hali hii inatoa picha ya uhalisia mbaya, ambapo matumaini yanaonekana kupungua.

Kila mahali ambapo tungeweza kutarajia kuona umati wa watu, sasa kuna kimya. Maswali yanaibuka: Je, watu hawa wanakimbilia wapi? Je, kuna matumaini yoyote ya kuwarudisha? Hii ni hali inayohitaji umakini na hatua za haraka ili kuweza kubadilisha mwelekeo huu.
 
Ni kweli kwamba hali hii inatia shaka na kuna hisia kwamba takwimu zinazotolewa na serikali zinaweza kuwa si za kweli. Watu wanaposhuhudia miji na vijiji vikiwa na watu wachache, inakuwa vigumu kuamini kuwa kuna watu milioni 60 nchini.

Watu wanajiuliza: Ni wapi watu hawa wanaotajwa? Hali ya uchumi na huduma za kijamii inashindwa kuendana na idadi hiyo ya watu, na hii inawafanya watu wengi wawe na wasiwasi kuhusu uhalisia wa takwimu hizo.

Kuwepo kwa mabadiliko katika maisha ya kila siku, kama vile vijana kuhamia mijini na kuacha vijiji, kunaweza kuonyesha kwamba kuna tatizo kubwa katika usimamizi wa rasilimali na mipango ya maendeleo. Hii inahitaji kuangaziwa kwa karibu ili kubaini ukweli na kuhakikisha kwamba sauti za watu zinaskika katika mchakato wa kupanga mustakabali wa nchi.

Ni muhimu kwa wananchi kuungana na kuhoji sera za serikali ili kuboresha hali yao na kuhakikisha kuwa takwimu zinazoletwa zinawasilisha ukweli wa maisha yao ya kila siku.
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Uko sawa 100%
Hakuna watu 60 million Tanzania.
 
Back
Top Bottom