π π π π True kwa kilimanjaro ya wachagga ni kweliNadhani tittle lilipaswa kusomeka
Crisis in Kilimanjaro! Vijijini hakuna watu wamebaki wazee wachache na vijana hopeless walevi kupindukia!
Vijiji vya wapi hivyo?Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Huko ni Arusha na KilimanjaroNchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Rasilimali za nchi hutumika kukilinda na kukiboresha Chama cha kijani, kuneemesha magenge ya utawalakuu.Raslimali za mikoa hiyo kutumika kuendeleza watu wa maeneo yake.Hii itapunguza vijana kukimbilia mijini kwani miji tena mizuri imeundwa karibu na vijijini kwao.Watumishi wengi huchukua likizo lakini hawendi vijijini walikotoka.H
Kwamba serikali iliyofanya sensa iko wrong wewe ndio uko wright?We uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kungβoa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!
Uongo.Taja hicho kijiji. Usikute ulikuwa umeenda mashambani.Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Wamejaaa simba na yanga siku hiziNchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
We unao wangapi mkuu?maana imekuuma as if bila hao watu huwez kuishWe uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kungβoa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!
We umeenda igurusi tu huko umekuja kugenelize kwamba vijana hawapo vijijini je umetembelea vijiji vyote?Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Kilimanjaro hakuna watu kabisa, hakuna tena vijana..
π π π π True kwa kilimanjaro ya wachagga ni kweli
Mna uhakika na hili ?Huko ni Arusha na Kilimanjaro
Dunia tu imeanza kupungua idadi ya watu.Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Nchi hii imebaki tupu, na hali hii inatia huzuni. Watu wengi wameondoka, na vijiji vimekuwa kama mashamba yasiyokuwa na maisha. Wazee wachache wanaosalia wanashuhudia mabadiliko haya, wakikumbuka nyakati za zamani ambapo maisha yalikuwa na shughuli nyingi. Vijana, kwa upande mwingine, wanajikuta wakitafuta njia za kuishi mijini, lakini miji yenyewe inakabiliwa na changamoto nyingi.Tulia uandike vzur kwanza il tujue ww uko wap mjin au kijijin
Uko sawa 100%Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.