milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Nenda ofisi ya taifa ya takwimu ama wizara ya afya ama zunguka mahospitali yote tanzania, msisumbue watu, tukiwa pungufu ama zaid inakusaidia nini wewe na familia yako, wewe kama unaona watu pungufu umeruhusiwa kuoa wanawake hata 30, wazalishe wote watoto kumikumi
Serikali isiziamini kabisa zile data za kwenye sensa ya mwaka 2022..Data za UKIMWI ndo zitakushangaza sana,....zinapikwa mpaka zinaunguzwa,....
Kuna sababu nyingi sana ndugu yangu vijijini ni kweli watu hawaonekani ila sababu kubwa ni hao wazee wenyewe wameroga mpaka mtu anaapa akitoka harudi tena sasa wazee waliobaki ndio hao hao hakuna anayetaka kurudi kwao maana akorudi na pikpiki tu wanafyeka njiani haswa mikoa ya pwani huko kuna kiji nakijua aisee kile kijiji kina ukoo mmoja wasomi hatar lkn walivyokufa acha tu wakijaribu kuendekeza kwao basi kila mtu aliishia msingi tu kafa ,badae walijua wazee wa pale wivu mwingi sanaa watoto waliapa hawrudi tena aisee kile kijiji nakwambia kimeishaa kabisa hakuna anaekwenda tena pale waliobaki ni vizee kabisa wanasubiei kufa tu,wameyataka wenyewe watanzania wengi sasa hv akifanikiwa kuondoka nchi aisee harud tena na akijenga bas mjini, vijijini waaache uchawi aiseeNchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Asee kuna pande za nchi ndo zipo hivyo..........ila kuna pande watu bado wanafyatua kama zamani tu, hasa maeneo ya kanda ya ziwa na hii mikoa ya kati kuelekea nyanda za juu kusini,,,,,ila ukija maeneo ya pwani, kaskazini ni shidaHii ni mada nzuri sana ni wachache san wanaweza kuhoj na kujiuliza swal.kam hili kiukwel tz hakina watu m60 ni uongo watu hawzai mashog weng lesbian tz hakun watu m60 mbaya zaid hamn hat vita usem wta wamefia vitani
Mkuu, Serikali ndio mpish mkuu wa hizo Data,....kama kuna vitu unapaswa kuvikataa kutoka uvungu wa moyo wako, basi ni takwimu zinazotololewa na serikali ya hii nchi,...🚮🚮🤧Serikali isiziamini kabisa zile data za kwenye sensa ya mwaka 2022..
Nilikutana na dogo mmoja alienda kuhoji kaya moja yenye watu 10, within 15 minutes alikuwa amemaliza zoezi zima, hahahahaaMkuu, Serikali ndio mpish mkuu wa hizo Data,....kama kuna vitu unapaswa kuvikataa kutoka uvungu wa moyo wako, basi ni takwimu zinazotololewa na serikali ya hii nchi,...🚮🚮🤧
Bangi ya wapi hiyo!? Achana nayo haraka kabla hujadhalilika.Nimetembelea vingi sana along my travels.., vijumba ni vichache pia.., sasa unajiuliza , hawatu milioni 60 wanaishi juu ya mibugu.., mbona nyumba zipo soo scarce.., yapo mapori mpaori tu , hata kulimwa hayalimwi, kwanza hiko chakula cha kulisha watu milioni 60 kinatoka wapi? Mimi nakataa , hii nchi tukizidi sana tupo laki5 , no way!!!
idadi ya wahitimu darasa la Saba 2024 ni 974,229...Laki 5 hata idadi ya watu wa wilaya ya Mkuranga wamezidi, hebu kuwa serious kidogo.
Siku hizi hawaendi Sinza tena, wanaenda Tabata na maeneo mengine ya pembezoni mwa mji.Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Zilipikwa ! Bi yule hajui kufanya reasoning!Serikali isiziamini kabisa zile data za kwenye sensa ya mwaka 2022..
Nilijua tu huu uzi unawahusu waromboNdugu, hiko mikoani hata icheze Simba na Yanga, viwanja vinakuwa empty, watu hakuna!! Watu kuzaa hawazai.., kazi kunywa visungura, hasa rombo.., zamamni wamama walikuwa wanazalishwa hadi yai la mwisho, kakoswa koswa sana ni watoto 10! Hivi sasa vijijoni nafuu hata mjini.., watu hakuna, vijana hawazai, na wa kuzaa nao hawapo, tunakuwa kama Japan sasa, what loneliness!!
Hata vinarua wa kazi za ujenzi siku hizi nawatafuta kwa tochi.., wote wamekinbilia visungura, hata kazi hawawezi, kuzalisha hawawezi, kazi hawawezi, fuckn zombies! Wat hopelessness!! Kazi kubet na visungura..
Big postBila kujali usahihi wa takwimu za Sensa, tupo wengi kulinganisha na uwezo wa kujihudumia. Hii unaipima kirahisi tu, thamani ya ubinadamu. Ukiona ipo chini ujue mmeshakuwa wengi. Wingi haupimwi kwa idadi tu, unapimwa kwa uwezo wenu wa kujihudumia huku thamani ya uhai wa binadamu ikionekana.
Maisha yanakosa thamani mnapokuwa wengi kupitiliza. Unafika hospitali una tatizo la kifua kuna wenzako 100 wana tatizo hilo hilo, kama hamna pesa mnalundikwa hapo kama ng'ombe huduma mbovu. Sorting ya huduma inadepend na pesa si value ya uhai wako, why? Mpo wengi.
Huko vijijini kipindi fulani hapo nyuma kijana akifa ni tukio baya sana na litajadiliwa hadi na wazee, sasa hivi boda zinawachinja wala hakuna anayejali, kwanini? Kitu kikishakuwa kingi kinakosa thamani.
So, tusipime wingi kwa idadi ya makaratasi au takwimu. Tutazame thamani ya mtanganyika ipo kwa kiwango gani? Watu kibao hawana ajira wanazurura tu, na hapo ni wasomi, achilia mbali wasio na shule kichwani, je tukidouble hali itakuaje?
Wapi hiyoooNchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Ongea ukweli huuu ni mkoa wa KilimanjaroNchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Inashangaza sana na sijui unazungumzia vijiji vya wapi manake Kilimanjaro huko vijijini watu hakuna tena zaidi ya 90% walishakimbia tangu miaka ya 70, hakuna watu na inabidi kitu kikubwa kifanyike manake hata nyani na ngedere wameanza kuwa wengi mno!Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Shukraan kwa kuacknowladge mkuu.Big post
Hapa Dar huu ni msimu wa sikukuu, ila mitaani kumepooza, kuku tu ndio wamezagaazagaaInashangaza sana na sijui unazungumzia vijiji vya wapi manake Kilimanjaro huko vijijini watu hakuna tena zaidi ya 90% walishakimbia tangu miaka ya 70, hakuna watu na inabidi kitu kikubwa kifanyike manake hata nyani na ngedere wameanza kuwa wengi mno!
Wenye mji wameenda kwao.Hapa Dar huu ni msimu wa sikukuu, ila mitaani kumepooza, kuku tu ndio wamezagaazagaa
Miaka ya nyuma walikuwa hawaendi au sio?Wenye mji wameenda kwao.