NATO bado wanamwinda Urusi kwa kila namna

NATO bado wanamwinda Urusi kwa kila namna

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
NATO wametoa tamko kuwa kama ikitokea Russia akalipua kituo cha nyuklia ,basi ajue amevunja kifungu namba 5 cha NATO.

Hivyo NATO itachukulia jambo hilo kama direct provoked ,na linaashiria kuwalenga wanachama wa NATO.

Hivyo italazimu NATO kuingililia direct,hapa sasa ndio patamu maana NATO wanamtafutia Russia sababu ya kumchapa live.

Chanzo cha habari hii ni aljazeeera
 
Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?

Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
 
Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Hivi wewe pro Russia Hadi Sasa Putin ameonesha maajabu gan kwenye hii vita so kila siku anavuliwa nguo.

Ameshindwa kuteka angala la nchi ndogo kama Ukraine na uwezo huo Hana.

Kila siku kambi na magala sa silaha yanalipuliwa huku tunaambiwa Wana air defense Bora kabisa duniani.

Meli Bora za kivita zinalipuliwa.

Ametumia silaha na makombora karibia yote. Imebak nyuclea tu.
.
Magenerali wanauwawa kama utitiri.

Ukilinganisha na uwezo wa Ukraine amemhenyesha hivyo. Je vipi mataifa Yale makubwa.

NB. Kwenye nchi za kidictetor uzalendo hua haipo kabisa. Kusalitiwa ni kugusa tu. Rushwa ni kubwa mno. Wanajeshi hawanaga uzalendo sana. Sasa hivi vitu vinapikuwepo jeshini huwezi kua na mafanikio makubwa sana kwenye medali ya kivita

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni kwamba hata likitokea hilo na nato wakaingia mazima na wakampiga urusi bando ntawaona kama nato ni dhaifu. Mataifa 30 juu ya taifa moja??!????!. Yaani kama russia atapambana na nato hata kwa siku tano tu akashindwa ntamwona shupavu wa ukweli
 
Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?

Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee

Mambo mengine bwana? Lini Urusi ilitangaza kwamba Majenerali wake 20 wameuwawa vitani - lini??

Kwa bahati mbaya nyinyi mnakazania kutuletea hadithi za kutunga tu mnazo kalilishwa na media za magharibi wala hamjishitukii hata kidogo, wapo majenerali walio kufa vitani lakini sio 20, kila Jenerali anaye kufa anafanyiwa mazishi ya Kitaifa bila kificho.
 
Kuna siku aliwahi kutangaza chochote juu ya athar anayopta toka aanze hivyo vita?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Urusi ipi, hii ya kuiba nafaka?
Au kuna Urusi nyingine tuisubiri?

Oparesheni ya wiki inaenda mwizi wa 6?

Urusi hii kwisha kabisa inaweza kupigwa hata na Japani🤣🤣🤣🤣
Wanaoiba nafaka Syria ni wakina nani
Walioiba dhahabu na mafuta irak ni wakina nani
Wanaoiba mafuta Libya ni akina na I
Kichwa chako ni Kwa ajili ya kuotesha nywele
 
Back
Top Bottom