NATO bado wanamwinda Urusi kwa kila namna

NATO bado wanamwinda Urusi kwa kila namna

Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?

Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
Mataifa makubwa 28 wameungana na kujaribu kuisogelea Urusi kwa ukaribu kisa uhatari wake kijana mropokaji wa mtogole unasema Russia ana maajabu gani?
 
Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?

Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
NATO is overrated-trump
 
Kuna siku aliwahi kutangaza chochote juu ya athar anayopta toka aanze hivyo vita?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app

Mbona wanatangaza on regular basis - lakini hata watangaze vipi - bado western media ubeza beza takwimu za Warusi badala yake utumbukiza za kwao za kubuni tu, mpaka mtu unabaki unashangaa - US na UK hawana mwakilishi yeyote kwenye jeshi la Urusi lakini wanajifanya kujua kila kitu kinacho endelea kwenye jeshi zima la Urusi, wanajifanya as if ni five star Generals wa jeshi la Urusi -waongo na wapotoshaji kama nini sijui.
 
NATO wametoa tamko kuwa kama ikitokea Russia akalipua kituo cha nyuklia ,basi ajue amevunja kifungu namba 5 cha NATO.

Hivyo NATO itachukulia jambo hilo kama direct provoked ,na linaashiria kuwalenga wanachama wa NATO.

Hivyo italazimu NATO kuingililia direct,hapa sasa ndio patamu maana NATO wanamtafutia Russia sababu ya kumchapa live.

Chanzo cha habari hii ni aljazeeera
Walibwage tu haina jins[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom