Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Pro NATO mnagombana wenyewe kwa wenyewe? [emoji23]Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Hahaaaa naona unajitekenyaHao NATO ni makunguru hamna hata mmoja atayejaribu kupigana na Russia
Hivi wewe pro Russia Hadi Sasa Putin ameonesha maajabu gan kwenye hii vita so kila siku anavuliwa nguo.Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Hahaaaa poa bwasheeNATO hiI inayojipigia Nchi zilizo choka huku zikiwabwekea...?
Hata Rais awe mwendaazimu/kichaa atokaye ktk Nchi mwanachama wa NATO hakuna atokaye Kubali huo upuuzi.
Putin ni kama kibaka tu, atafurushwa kama mbwa mwizi
Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?
Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
Kuna siku aliwahi kutangaza chochote juu ya athar anayopta toka aanze hivyo vita?Mambo mengine bwana? Lini Urusi ilitangaza kwamba Majenerali wake 20 wameuwawa vitani - lini??
Kwa bahati mbaya nyinyi mnakazania kutuletea hadithi za kutunga tu mnazo kalilishwa na media za magharibi wala hamjishitukii hata kidogo, wapo majenerali walio kufa vitani lakini sio 20, kila Jenerali anaye kufa anafanyiwa mazishi ya Kitaifa bila kificho.
Urusi ipi, hii ya kuiba nafaka?Kwa akili zako fupi ni nchi Gani ya NATO haijitambui ipambane na urusi
Wanaoiba nafaka Syria ni wakina naniUrusi ipi, hii ya kuiba nafaka?
Au kuna Urusi nyingine tuisubiri?
Oparesheni ya wiki inaenda mwizi wa 6?
Urusi hii kwisha kabisa inaweza kupigwa hata na Japani🤣🤣🤣🤣