Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hizi nchi za NATO tangu vita imeanza wamekua wakitoa silaha na fedha kwaajili ya Ukraine kupambana na Russia 🇷🇺. Leo wametangaza kupeleka ndege vita za kisasa F 16 lakini tuelewe kuwa Ukraine anazo mig ambazo ni Su version ya mrusi na Russia amekua akizilipua na kupiga miundo mbinu ya Ukraine inayosaidia mashambulizi dhidi yake.
Hawa NATO hawajitokezi waziwazi front lakini wapo..
Lengo la andiko hili kwa wasomaji wenzangu na wafuatiliaji wa vita hapa duniani ni kuelezea udhaifu wa nchi ya Ukraine na mtego wa NATO katika hii vita. Kwanza hawajampa uanachama mpaka leo kama target ya Ukraine na ombi lake la muda mrefu.
NATO wapo mguu nje mguu ndani ni kama hawana uhakika je tutashinda hii vita kwa kumsaidia Ukraine? ( ukweli ni kwamba hawawezi kushinda)
Russia amekua akipigana kiustaarabu sana kwa sababu kiuhalisia wayukreini wengi wana asili ya urusi na hawataki hii vita ila maslahi ya marekani na NATO vita hii inachochewa.
Leo uingereza huyu waziri mkuu mpya ametoa agizo kuwa silaha za uingereza ziishambulie urusi moja kwa moja. Kwa mtazamo wangu sasa putin atafungua ghala la silaha maana ni kama vita ya NATO na Russia imetangazwa rasmi. Lakini atakeumia hapa ni Ukraine na mwisho wa siku Ukraine atabaki kama alivyo hatapewa uanachama wa NATO na atakua koloni la mrusi totally.