NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

Zelensiky ameshawaambia NATO silaha wanazompa hazitoshi kupambana na adui! Kwa mfano hizo F16 40 ni chache kulinganisha na ndege 300 ambazo Russia inazitumia kupambana na Ukraine.
Urusi hatumii ndege kwenye anga la Ukraine. Zile ndege zake za kisasa Sukhoi-57 zipo chache sana (hazifiki 30) na hazijajaribiwa kwenye uwanja wa mapambano kwa kuogopa kudunguliwa
 
Urusi hatumii ndege kwenye anga la Ukraine. Zile ndege zake za kisasa Sukhoi-57 zipo chache sana (hazifiki 30) na hazijajaribiwa kwenye uwanja wa mapambano kwa kuogopa kudunguliwa
Kakudanganya nani?
Zipo nyingine bomba ambazo ni nuclear powered chapa ya TUPOLEV!
 
Kakudanganya nani?
Zipo nyingine bomba ambazo ni nuclear powered chapa ya TUPLOVE!
Unafurhia uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi ndogo jirania ya Ukraine, siyo? Ni kati ya wanaodhani ni kutuniana na West wakati huo ni uvamizi haramu.t isingeisaidia Ukraine, kwa plan ya Putini sassa hivi Ukraine ingekuwa imefutwa kwenye ramani, na wee ungefurahi sana.

Yaania na wewe unaamini
1720637520788.png
 
Unafurhia uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi ndogo jirania ya Ukraine, siyo? Ni kati ya wanaodhani ni kutuniana na West wakati huo ni uvamizi haramu.t isingeisaidia Ukraine, kwa plan ya Putini sassa hivi Ukraine ingekuwa imefutwa kwenye ramani, na wee ungefurahi sana.

Yaania na wewe unaamini View attachment 3038808
You're such a fool. Bila hao NATO Ukraine ingeendelea kuwa nyutro. Nani angemgusa?

^Kama huwezi kumwona mchokozi halisi katika ugomvi fulani, labda wewe ndiye!^ ~Prof. Alfonso Mansolonni
 
You're such a fool. Bila hao NATO Ukraine ingeendelea kuwa nyutro. Nani angemgusa?

^Kama huwezi kumwona mchokozi halisi katika ugomvi fulani, labda wewe ndiye!^ ~Prof. Alfonso Mansolonni
Umetumia neno kubwa sana kusema I am a fool, isipokuwa nitasema tu kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu sana ambaye bado una sumbululiwa na kuamini cold war politics kama Putin ambaye bado anataka kuipata USSR tena, na hata huelewei kuwa chini ya makubaliano ya Budapest Memorandum baada ya kuanguka USSR, nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zilipewa jukumu kulinda usalama wa Ukraine kusudi iachie silaha za Nyuklia ilizokuwa nazo.

Wakati Putin anavamia na kujimegea Crimea, Ukraine haikuwa na jeshi kabisa na ilikuwa ni nchi neutral ikiamini yale makubaliano ya Budapest Memorandum. Uingereza na Marekani wanatekeleza makubaliano hayo kwa kuisadia Ukraine, wakati Urusi ndiye aliyevunja makubaliano hayo kwa kuanzisha uvamizi.
 
Cha ajabu Biden leo anasema kuwa NATO ifanye bidii kupanua viwanda vyake view kama China, Urusi na Korea Kaskazini.
Sasa unajiuliza mbona wanasema Korea kaskazini ni masikini wanawezaje kuwapita ulaya kwa industrial complex???? Au tunadanganywa sana na media???
Huyu Biden kwa sasa anahitaji kupumzika kama wamarekani wanajitambua hafai kuendelea tena kuongoza maana hajitambui anachoongea ana tatizo la kiafya wanasema ana umwa ule ugonjwa alioumwa mzee lowasa.
 
Umetumia neno kubwa sana kusema I am a fool, isipokuwa nitasema tu kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu sana ambaye bado una sumbululiwa na kuamini cold war politics kama Putin ambaye bado anataka kuipata USSR tena, na hata huelewei kuwa chini ya makubaliano ya Budapest Memorandum baada ya kuanguka USSR, nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zilipewa jukumu kulinda usalama wa Ukraine kusudi iachie silaha za Nyuklia ilizokuwa nazo.

Wakati Putin anavamia na kujimegea Crimea, Ukraine haikuwa na jeshi kabisa na ilikuwa ni nchi neutral ikiamini yale makubaliano ya Budapest Memorandum. Uingereza na Marekani wanatekeleza makubaliano hayo kwa kuisadia Ukraine, wakati Urusi ndiye aliyevunja makubaliano hayo kwa kuanzisha uvamizi.
We have to set a New World Order . Hii biashara ya kusema Tanganyika ilikabidhiwa uingereza ife .

Na kinachofanyika kwa sasa ni settings of a New World Order.
 
Nikiangalia kinachofanyika GAZA
Russia anapigana kistaarabu sana

Tumia tu akili ya kawaida kati ya vita ya Israel na Palestine na vita ya Russia na Ukraine ipi imesababisha vifo vingi na majeruhi mengi

Wakati huo uzingatie na muda wa uanzishwaji wa vita
Wewe ni Great thinker. Thank you
 
Hizi nchi za NATO tangu vita imeanza wamekua wakitoa silaha na fedha kwaajili ya Ukraine kupambana na Russia 🇷🇺. Leo wametangaza kupeleka ndege vita za kisasa F 16 lakini tuelewe kuwa Ukraine anazo mig ambazo ni Su version ya mrusi na Russia amekua akizilipua na kupiga miundo mbinu ya Ukraine inayosaidia mashambulizi dhidi yake.

Hawa NATO hawajitokezi waziwazi front lakini wapo..

Lengo la andiko hili kwa wasomaji wenzangu na wafuatiliaji wa vita hapa duniani ni kuelezea udhaifu wa nchi ya Ukraine na mtego wa NATO katika hii vita. Kwanza hawajampa uanachama mpaka leo kama target ya Ukraine na ombi lake la muda mrefu.

NATO wapo mguu nje mguu ndani ni kama hawana uhakika je tutashinda hii vita kwa kumsaidia Ukraine? ( ukweli ni kwamba hawawezi kushinda)

Russia amekua akipigana kiustaarabu sana kwa sababu kiuhalisia wayukreini wengi wana asili ya urusi na hawataki hii vita ila maslahi ya marekani na NATO vita hii inachochewa.

Leo uingereza huyu waziri mkuu mpya ametoa agizo kiwa silaha za uingereza ziidhambulie urusi moja kwa moja. Kwa mtazamo wangu sasa putin atafungua ghala la silaha maana ni kama vita ya NATO na Russia imetangazwa rasmi. Lakini atakeumia hapa ni Ukraine na mwisho wa siku Ukraine atabaki kama alivyo hatapewa uanachama wa NATO na atakua koloni la mrusi totally.

View attachment 3038710
Baada ya huu mpambano Urusi hata vamia nchi yoyote miaka ya karibuni.Wengi hatufuatilia historia tunabaki kulalama NATO vile NATO hivi.Tunajua kuwa 11% ya Ardhi ya Urus inakopakana Finland ni Ardhi ya Finland Urusi ilibeba kimabavu,mnajua Urusi alipataje kisiwa cha Kalingard ,Mnajua kuwa Urusi anatawala baadhi maeneo ya Georgia baada uvamizi wa 2008.Urusi kwa asili ni mvamizi Sugu
 
Kwamba Ukraine angekubali Rais wao kutoka madarani na pia wanajeshi wake wasijibu chochote pindi Russia walipoivamia? Inaingia akilini kweli!!!
Mbona hutaji sababu za Ukraine kuvamiwa kwamba kavunja mkataba walioingia na Russia Kwa kutegemea silaha za msaada zitamsaidia kwahyo anachezea mboko tu
 
Umetumia neno kubwa sana kusema I am a fool, isipokuwa nitasema tu kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu sana ambaye bado una sumbululiwa na kuamini cold war politics kama Putin ambaye bado anataka kuipata USSR tena, na hata huelewei kuwa chini ya makubaliano ya Budapest Memorandum baada ya kuanguka USSR, nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zilipewa jukumu kulinda usalama wa Ukraine kusudi iachie silaha za Nyuklia ilizokuwa nazo.

Wakati Putin anavamia na kujimegea Crimea, Ukraine haikuwa na jeshi kabisa na ilikuwa ni nchi neutral ikiamini yale makubaliano ya Budapest Memorandum. Uingereza na Marekani wanatekeleza makubaliano hayo kwa kuisadia Ukraine, wakati Urusi ndiye aliyevunja makubaliano hayo kwa kuanzisha uvamizi.
Mbona hujamalizia story Yako nini kilitokea 2008, kwa nini Rais wa Ukraine alipinduliwa, na kwa nini kwa miaka 8 Ukraine umekuwa ikiwapiga maboom waukraine wenye asiki ya Urusi huko Donbas, na kwengineko. Ndio utaona kwa nini Urusi imeingia vitani
 
Back
Top Bottom