Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Mhe Kichuguu, nashauri uangalie hii video hapa uone nani hasa ni mkorofi kati ya Marekani (NATO) na Mrusi. Then uje tujadiliane. AsanteUmetumia neno kubwa sana kusema I am a fool, isipokuwa nitasema tu kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu sana ambaye bado una sumbululiwa na kuamini cold war politics kama Putin ambaye bado anataka kuipata USSR tena, na hata huelewei kuwa chini ya makubaliano ya Budapest Memorandum baada ya kuanguka USSR, nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zilipewa jukumu kulinda usalama wa Ukraine kusudi iachie silaha za Nyuklia ilizokuwa nazo.
Wakati Putin anavamia na kujimegea Crimea, Ukraine haikuwa na jeshi kabisa na ilikuwa ni nchi neutral ikiamini yale makubaliano ya Budapest Memorandum. Uingereza na Marekani wanatekeleza makubaliano hayo kwa kuisadia Ukraine, wakati Urusi ndiye aliyevunja makubaliano hayo kwa kuanzisha uvamizi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=8X7Ng75e5gQ