Watu wanaonea huruma nchi za NATO kwenye vita ya 3, vita ikianza China haiwezi kuingia kichwa kichwa, labda Iran , kitakachotokea Rusia atapiga bomu la nyuklia Ukraine na Ukraine ataipiga Rusia kwa msasa wa USA, kwa madhara yatakayotokea kwa pande 2 , wananchi wa Russia na Ukraine wataungana kufanya maandamano ili kuondoa Putin na Zelensky madaraka. Kuna uwezekano pale Ukraine mzigo wa nyukilia utakuwa umeshafika, kila siku Rusia analalamika kuwa NATO wanatengeneza silaha za kibiolojia. Vita ya 3 ya dunia yatabaki maatifa ya Africa, Amerika ya kidini, Asia na Australia, ila Iran lazima aliwe kichwa. Rusia atateketea, Nato atayeketea.