NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

NATO wanataka kujua uwezo wa mrusi na siraha zake kupitia hii Vita.
Wanapanga pia kumdhoofisha kiuchumi maana ametumia pesa nyingi sana kwa hii vita.

Uwezo wa kumaliza hii vita anao,kuna mawili aachie full mkoko au awapige mdogo mdogo ajiangushe kiuchumi.
Russia kuanguka kiuchumi hili ulisahau kabisaaa
Russia ataanguka kiuchumi ikiwa India na Uchina wataungana na west nakuhakikishia Russia haitachukua hata mwezi
Ila kwa ushirikiano alonao na hayo mataifa mawili hata kama ulaya wote watamtenga Russia kuanguka kiuchumi musahau
 
Wazungu sio wajinga kama waafrica Kuna hesabu zishasolviwa zamani majibu mtayapata muda sio mrefu.
Juzi mkuu wa NATO alisema hii vita ndio litaamua usalama wa nchi za magaharibi kwa miongo mingi ijayo, na kwamba they will not let Rusia win in Ukraine
 
Kwani ndege za NATO ndiyo mara ya kwanza kutumika Ukraine?

Silaha karibia zote anazotumia Ukraine ni za NATO.

NATO hapo wanatumia media kulikuza hili ili mauwaji ya kikatili yanayofanyika Ghaza yasionekane.
Kwani Gaza kuna mauaji ya kikatili?
Si mnasema wazayuni wanakiona kila siku toka kwa mashabibi wa hamas?

Msalimie chura kiziwi
 
Na wao bila dhahabu , almasi , Tanzanite, coal , gas , kahawa , mbao , samaki , nyama , n.k wata survive vipi? Tunaishi kwa kutegemeana mkuu
Ni kweli ila wenzetu wametuzidi jambo moja, ambalo ni kujiandaa na kujipanga katika nyakati za shida. Mfano, ukitazama reserve ya gold kwa bara la ulaya na marekani inaweza kuwapeleka pengine hata miaka 10 au 20 bila kuihitaji, sasa sisi reserve yetu ya mafuta unakuta ni 2month, hatuna source ya internet wakitaka wanazima hata kesho.
 
Russia kuanguka kiuchumi hili ulisahau kabisaaa
Russia ataanguka kiuchumi ikiwa India na Uchina wataungana na west nakuhakikishia Russia haitachukua hata mwezi
Ila kwa ushirikiano alonao na hayo mataifa mawili hata kama ulaya wote watamtenga Russia kuanguka kiuchumi musahau
Kaka unategemea urusi atabaki sawa na hiyo Vita?non sence hivi mnajua maana ya uchumi au mnakariri?
 
Ok. Nani mnufaika wa hiyo vita? Hivi,unajua hasara unayopata wewe ni tofauti na wahusika?

Jambo moja. Kinachowahangaisha ni nini? Hamna mrusi wala muukraine
Hapa tunaongea facts kaka,Mnufaika wa Hiyo Vita ni atakayeshinda sababu hawama bwana gimbania Crimea.Jimbo ambalo ni muhimu kwa ukrain na russia kiusalama na kiuchumi.

Vita inatumia resouces bila kuingiza chochote mpaka utakapo shinda.Sasa mjinga mmoja anakuambia urusi hataathirika kiuchumi.Angalia rundo la mashirika yenye asili ya russia yalivyofungwa ulaya.
Angalia umiliki wa Club kubwa kama Chersea ulivyoyumba baada Ibramovich swahiba wa Putin na mrusi kuambiwa apishe.
 
Ripoti ya world Bank mwaka huu imesema uchumi wa urusi umezidi kuimarika. Hawa world Bank ni tool ya wamarekani kiuchumi ndio wanaripoti
Ripoti ya world Bank mwaka huu imesema uchumi wa urusi umezidi kuimarika. Hawa world Bank ni tool ya wamarekani kiuchumi ndio wanaripoti hivyo.
Hebu tuwekee hiyo screenshort.Alafu report ya mwaka huu huwezi kuta hivyo vitu.subiri report ya robo mwaka ya WB au IMF.
 
Hapa tunaongea facts kaka,Mnufaika wa Hiyo Vita ni atakayeshinda sababu hawama bwana gimbania Crimea.Jimbo ambalo ni muhimu kwa ukrain na russia kiusalama na kiuchumi.

Vita inatumia resouces bila kuingiza chochote mpaka utakapo shinda.Sasa mjinga mmoja anakuambia urusi hataathirika kiuchumi.Angalia rundo la mashirika yenye asili ya russia yalivyofungwa ulaya.
Angalia umiliki wa Club kubwa kama Chersea ulivyoyumba baada Ibramovich swahiba wa Putin na mrusi kuambiwa apishe.
Weee jamaa unaangalia upande mkoja huwez pata muafaka kama makampuni yamefungwa kote
Kuhusiana na chelsea inahusianaje na russia
Watu wamefuta mpango wa nord stream two na russia haijatikisika kama walivyotaka west
 
Nawewe unadhani hao wanaoenda kinyume watabakia sawa?
Hakuna sehemu nimesema kama Russia atakua sawa ila kusambaratika hili musahau tena musahau
Kusambaratika umesikia wapi.Ecomonicaly lazima ashuke,Marekani amepigana vita ya Iraq hakubaki kama alivyoanza.Uelewa mdogo nao ni tatizo.

Mwalimu wako alipata tabu sana,Kwa heri.
 
Kusambaratika umesikia wapi.Ecomonicaly lazima ashuke,Marekani amepigana vita ya Iraq hakubaki kama alivyoanza.Uelewa mdogo nao ni tatizo.

Mwalimu wako alipata tabu sana,Kwa heri.
Uliposema kushuka kiuchumi ulimaanisha nini
Kwani unadhani watu wanapoenda vitani hawajui kama watapata athari za kiuchumi
Ila wakati marekani anapata athari za kiuchumi huko unaposema aliekewa kikwazo nanani?
Russia kaekewa vikwazo kwa malengo gani
Wewe kama ndio unaona mwalimu wako hakupata tabu pole sana kijana
 
Back
Top Bottom