Russia wanavamia eneo , wanaweka SAM(
Surface to Air Missile) zenye uwezo wa kulinda eneo walilovamia na kulichukua. Hivyo NATO itabidi warushe missiles au ndege kwenda kupiga
air defenses za Russia, kitu ambacho ni kigumu.
Kingine uwezo wa Russia kwenye EW (
Electronic warfare ) unatisha, NATO wanakiri juu ya uwezo wa Russia kwenye EW na wameshangazwa kwa kuchelewa kufahamu uwezo wa Russia kwenye EW, uwezo wa EW wa Russia ni hatari kwa vifaa vya NATO kuanzia drones zinazoruka kwenye
highly altitudes hadi mifumo ya ulinzi kama
airborne early warning and control (AEW&C)
Hizo AEW&C ndizo zile radar huweka kwenye ndege na kuruka juu kwa ajili ya kukusanya taarifa kwa ajili ya kujilinda na kushambulia, AEW&C system moja inaweza kugundua ndege ya adui iliyopo umbali wa 400 km, na kuweza kukusanya taarifa ndani ya eneo lenye ukubwa wa 312,000 km2, Tuseme ndege moja tu yenye mfumo wa AEW&C inaweza kupata taarifa ya anga zima la nchi ya Uganda lenye 241,038 km2.
Hata hili suala la F-16 soni kama ni threat kwa Russia.
NATO inabidi waweze kutawala
electromagnetic spectrum katika anga la Ukraine, hivyo unapozungumzia air superiority inapaswa uelewe pia kama Russia hawawezi air superiority je NATO wataweza
air denial ? jibu ni NO.
Kingine Russia wanatumia drones na missiles kupiga
air defenses na
missile defenses za NATO, NATO inabidi wawe na silaha za kutosha zenye uwezo mkubwa na nyingi ili kuweza ku target
launch positions za Russia, washambulie na kulipa kisasi, mfano long range ATACAMS au watumie JASSM ambazo cost yake moja ni zaidi ya 1 million usd. Hapa sioni kama NATO wataweza kuilinda Ukraine kwa gharama hizo dhidi ya Russia, gharama za ATACAMS na JASSM ni kubwa mno.
jassm missile
Hii vita NATO hawakujipanga vyema kupambana na Russia.