NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

Zelensiky ameshawaambia NATO silaha wanazompa hazitoshi kupambana na adui! Kwa mfano hizo F16 40 ni chache kulinganisha na ndege 300 ambazo Russia inazitumia kupambana na Ukraine.
Urusi hatumii ndege kwenye anga la Ukraine. Zile ndege zake za kisasa Sukhoi-57 zipo chache sana (hazifiki 30) na hazijajaribiwa kwenye uwanja wa mapambano kwa kuogopa kudunguliwa
 
Urusi hatumii ndege kwenye anga la Ukraine. Zile ndege zake za kisasa Sukhoi-57 zipo chache sana (hazifiki 30) na hazijajaribiwa kwenye uwanja wa mapambano kwa kuogopa kudunguliwa
Kakudanganya nani?
Zipo nyingine bomba ambazo ni nuclear powered chapa ya TUPOLEV!
 
Unafurhia uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi ndogo jirania ya Ukraine, siyo? Ni kati ya wanaodhani ni kutuniana na West wakati huo ni uvamizi haramu.t isingeisaidia Ukraine, kwa plan ya Putini sassa hivi Ukraine ingekuwa imefutwa kwenye ramani, na wee ungefurahi sana.

Yaania na wewe unaamini
 
You're such a fool. Bila hao NATO Ukraine ingeendelea kuwa nyutro. Nani angemgusa?

^Kama huwezi kumwona mchokozi halisi katika ugomvi fulani, labda wewe ndiye!^ ~Prof. Alfonso Mansolonni
 
You're such a fool. Bila hao NATO Ukraine ingeendelea kuwa nyutro. Nani angemgusa?

^Kama huwezi kumwona mchokozi halisi katika ugomvi fulani, labda wewe ndiye!^ ~Prof. Alfonso Mansolonni
Umetumia neno kubwa sana kusema I am a fool, isipokuwa nitasema tu kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu sana ambaye bado una sumbululiwa na kuamini cold war politics kama Putin ambaye bado anataka kuipata USSR tena, na hata huelewei kuwa chini ya makubaliano ya Budapest Memorandum baada ya kuanguka USSR, nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zilipewa jukumu kulinda usalama wa Ukraine kusudi iachie silaha za Nyuklia ilizokuwa nazo.

Wakati Putin anavamia na kujimegea Crimea, Ukraine haikuwa na jeshi kabisa na ilikuwa ni nchi neutral ikiamini yale makubaliano ya Budapest Memorandum. Uingereza na Marekani wanatekeleza makubaliano hayo kwa kuisadia Ukraine, wakati Urusi ndiye aliyevunja makubaliano hayo kwa kuanzisha uvamizi.
 
Huyu Biden kwa sasa anahitaji kupumzika kama wamarekani wanajitambua hafai kuendelea tena kuongoza maana hajitambui anachoongea ana tatizo la kiafya wanasema ana umwa ule ugonjwa alioumwa mzee lowasa.
 
We have to set a New World Order . Hii biashara ya kusema Tanganyika ilikabidhiwa uingereza ife .

Na kinachofanyika kwa sasa ni settings of a New World Order.
 
Wewe ni Great thinker. Thank you
 
Baada ya huu mpambano Urusi hata vamia nchi yoyote miaka ya karibuni.Wengi hatufuatilia historia tunabaki kulalama NATO vile NATO hivi.Tunajua kuwa 11% ya Ardhi ya Urus inakopakana Finland ni Ardhi ya Finland Urusi ilibeba kimabavu,mnajua Urusi alipataje kisiwa cha Kalingard ,Mnajua kuwa Urusi anatawala baadhi maeneo ya Georgia baada uvamizi wa 2008.Urusi kwa asili ni mvamizi Sugu
 
Kwamba Ukraine angekubali Rais wao kutoka madarani na pia wanajeshi wake wasijibu chochote pindi Russia walipoivamia? Inaingia akilini kweli!!!
Mbona hutaji sababu za Ukraine kuvamiwa kwamba kavunja mkataba walioingia na Russia Kwa kutegemea silaha za msaada zitamsaidia kwahyo anachezea mboko tu
 
Mbona hujamalizia story Yako nini kilitokea 2008, kwa nini Rais wa Ukraine alipinduliwa, na kwa nini kwa miaka 8 Ukraine umekuwa ikiwapiga maboom waukraine wenye asiki ya Urusi huko Donbas, na kwengineko. Ndio utaona kwa nini Urusi imeingia vitani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…