NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

Wewe unajua kama wenye NATO yao?....punguzo kihelehele
 
Umemaliza kabisa...ila wanakuja elimu ahera watabisha mbwa hawa
 
Umemaliza kabisa...ila wanakuja elimu ahera watabisha
 
Unachozungumza ni kama Abrams tanks ambapo watu walikaa humu vikao kujadili jinsi abrams tanks ambazo zinasifika ni hatari zitakapo fanya maajabu Ukraine dhidi ya Russia, wengine walisema zitafanya maajabu, lakini hakuna chochote kilichobadilika baada ya abrams tanks kuingia, tumeshuhudia zikitandikwa hovyo na Russia na watu kuanza kujiuliza kuhusu uwezo wake kama wanavyonadi watengenezaji.

F-16s haziwezi kubadili chochote kwenye hio vita, hata kama wapewe F-16s mia, haziwezi kutosha kupambana na ndege vita za kirusi japo ni ukweli mchungu kwamba hizo F-16s hazitofika 100.

Russia wanatengeneza hizo Sukhoi na Mig je? Ukraine na F-16s za msaada ataweza kupambana?

Ni kama mgonjwa wa kansa ambae siku zake zinahesabika, anatumia dawa na kufanyiwa mionzi kupunguza tu ile kasi ya ugonjwa lakini kiuhalisia inajulikana hana muda kansa itammaliza.
Ndio sawa na Ukraine, ni suala la muda tu.
 
Russia hafilisiki kwa sababu anatumia fedha efficiently and effectively.

Mwanzo alianza vibaya kwa kutumia mavifaa ya gharama ila naona ana waziri mzuri wa fedha na washauri wa uchumi wakamuwahi kuwa akiendelea kutumia masilaha ya gharama watafilisika kweli mapema sana na hilo ndio lengo la NATO hivyo akae na vijana wake wafikirie mbinu ya kutumia technolojia itakayorahisisha ku deliver kipigo kwa gharama nafuu ndipo walipogeukia Iran kukopa teknolojia ya drones na akaboresha zaidi ili ziweze kukidhi mahitaji yake ya kivita.

Matokeo yake anaangamiza vifaa vya adui in a fraction of cost aliotumia adui. Mfano Marekani anatuma vifaa vya billion 30 kila kimoja ila mrusi anatumia gharama ya million 300 tu kuviangamiza 🤣!
 
Kuipa Ukraine uanachama wa NATO directly ni kuingia vitani na Russia as sheria ya Nato inasema mwanachama mmoja akivamiwa ni kama alliance yote imevamiwa so ni officially itakua Nato vs Russia war!
 
Analinda taifa lake kwa kupiga ndani ya urusi?
Ndiyo.

Unadhani “defense” ni kukaa tu upigwe?

Fuatilia mkuu.

Israel mwenyewe anasema anajilinda.

Ukishambuliwa, na wewe ukashambulia. Hapo unajilinda.
 
Sawa mchambuzi wa vita kutoka ukonga mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…