NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

na NATO haitothubutu kumpiga mrusi wanaogopa hicho hicho
NATO huwa haipigi nchi, labda kuingilia pale panapokuwa na mzozo. Kama Prighozin angefanikiwa kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Urusi huenda NATO ingeingilia kuhakisha silaha za nuclear haziangukii mikononi mwa makundi au watu wendawazimu zaidi.
 
Kuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi

Kuna defence lines 4 zinaenda kutengenezwa na kuwa re-enforced.

1. Against Latvia
2. Against Lithuania
3. Against Poland
4. Against Ukraine.
 
Kama Putin alishindwa kuichukua Kyiv February Mwaka jana na jeshi rasmi akitokea Belarus kukiwa na msafara wa kilometa zaidi ya 60 wa vifaru huku Ukraine ikiwa haina silaha kama ilizo nazo leo basahu sahau kuichukua akiwa na jeshi la mamluki.
Na mimi ndio nashangaa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Si walifurahi alivyoingiaa Moscow na jeshi wakamshangilia?
Sasa wanachukia nini akiingia Poland au Lithuania? Waendelee kushangilia
Ha ha ha haa ,aisee NATO wana mda mfupi sana wa furaha hapa duniani,halafu Wana mda mrefu sana wa majonzi.
Dunia inazunguka kwa Kasi mno,Leo hii NATO wanaishi kwa hofu kuliko wapalestina.Dah.
 
Natamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
Hiyo haiwezekani Sasa,maana NATO wanaiogopa Urusi balaa.
Kama Ingekua ni Libya,Iraq ,yugo na Afghanistan wangeshaingia zamani.
Pole sana ndugu,mawazo Yako hayawezi kutokea Leo hii.
Hata Rais wa USA alishasema "safari hii hawataingiza majeshi ya USA Kwa sababu Urusi ni jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni,Urusi sio mtandao wa magaidi."
 
Nato hawakuweza kuingia moja kwa moja vitani nchini Ukraine kwa sababu Ukraine mpaka sasa bado hajawa mwanachama wao (NATO).
Lakini endapi Urusi itaanzisha vita na nchi mohawapo mwanachama wa NATO basi upo uwezekano mkubwa sana NATO wataingilia kati, hata Putin analijua hili ndio maana yupo makini sana na vita yake ili asimchokoze mwanachama yoyote wa Nato kwa sasa.
 
Ha ha ha haa ,aisee NATO wana mda mfupi sana wa furaha hapa duniani,halafu Wana mda mrefu sana wa majonzi.
Dunia inazunguka kwa Kasi mno,Leo hii NATO wanaishi kwa hofu kuliko wapalestina.Dah.
Wanaogopa hadi mtu wanayemuita gaidi,si waende Belarusi wakamkamate,mbona Osama walimfuata ncbi za watu
 
NATO huwa haipigi nchi, labda kuingilia pale panapokuwa na mzozo. Kama Prighozin angefanikiwa kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Urusi huenda NATO ingeingilia kuhakisha silaha za nuclear haziangukii mikononi mwa makundi au watu wendawazimu zaidi.
Sijui mnawazaga kwa kutumia makalio?
Libya na Iraq ni mitaa?
Au wakipiga jeshi linalomuunga mkono rais wanakuwa hawajapiga nchi
 
Sijui mnawazaga kwa kutumia makalio?
Libya na Iraq ni mitaa?
Au wakipiga jeshi linalomuunga mkono rais wanakuwa hawajapiga nchi
Libya yalikuwa machafuko na uasi wa ndani, rudia kusoma nilichoandika wewe kilaza.
NATO haijawahi kushiriki katika vita vya Iraq.
 
Kuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi
Wanaona mbali ndio maan waliona pia kuwa Urusi alikuwa anajipanga kuvamia Ukraine , ila mlibisha nyiny wavaa kobaz
 
Si walifurahi alivyoingiaa Moscow na jeshi wakamshangilia?
Sasa wanachukia nini akiingia Poland au Lithuania? Waendelee kushangilia
Kwan wagner ni raia wa wap ? Mpk waingie poland na lithuania
 
Nilona kabisa hii ni planned game ,uhaini na prigo kwenda kishkaji kabisa pale Bela na Russia wamefutilia mbali uchunguzi wa kuwachunguza Wagner na wanaingizwa kwenye kikosi Cha Rusia Moja kwa Moja ...what a game Putin ni mtu mjanja na katili sana ila amecheza na akili zao na Lengo ni kuchkua kyiv ambapo ni karibia km 400 tuu Toka Belarus
Kwan mwanzon si walishambulia kutokea Beralus au unazungumzia Beralus ip?
 
Urusi atawakana hao masenaries hadharani ila lengo ni kuwapa nafasi ya kuichafua Poland tena atawakana sana tu na majomba wataishi mafichoni belarus, mchezo ndo umeanza sasa msitegemee hawa masenaries warudi tena Ukraine, misio inaelekea kweye death zone.
 
Back
Top Bottom