NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

Kama Putin alishindwa kuichukua Kyiv February Mwaka jana na jeshi rasmi akitokea Belarus kukiwa na msafara wa kilometa zaidi ya 60 wa vifaru huku Ukraine ikiwa haina silaha kama ilizo nazo leo basahu sahau kuichukua akiwa na jeshi la mamluki.
Ni mjinga tu anayefikiri putin alishindwa kuchukua ukraine.hakushindwa ila aliingia makubaliano na Ukraine kuwa asichukue Kiev acha kupotosha.
 
Natamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
Ni mjinga tu anayefikiri NATO anauwezo wa kupiga urusi kwa sababu silaha za nuclear zitatumika na hakutakuwa na mshindi na dunia itaharibiwa kwa hiyo usifikiri kuna siku NATO wataingia vitani moja kwa moja na warusi acha wajiitie volunteers huko Ukraine.
 
Nato hawakuweza kuingia moja kwa moja vitani nchini Ukraine kwa sababu Ukraine mpaka sasa bado hajawa mwanachama wao (NATO).
Lakini endapi Urusi itaanzisha vita na nchi mohawapo mwanachama wa NATO basi upo uwezekano mkubwa sana NATO wataingilia kati, hata Putin analijua hili ndio maana yupo makini sana na vita yake ili asimchokoze mwanachama yoyote wa Nato kwa sasa.
Acha maneno dunia nzima inajua Nato ipo Ukraine na majeshi ya nchi hizo wengi wameuwa Kuanzia wamarekani na hata wafaransa nyie jidanganyeni eti Ukraine anapigana peke yake na Mrusi
 
Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO zilizo karibu na Belarus.

Malalamiko hayo yamezungimzwa na marais wa Lithuania na wa Poland baada ya kikao cha NATO, the Hague. Wamemba vikao vya NATO viitishwe haraka mno kujadili janga hilo kubwa kwa nchi zao.

Source: aljazeera
========
View attachment 2671526

NATO will defend members from threat of Wagner forces in Belarus​

Published On 28 Jun 202328 Jun 2023

NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has said the Western military alliance is ready to defend itself against any threat posed by the move of Russia’s Wagner mercenary force to Belarus amid fears the relocation of the private army could create instability for NATO’s Eastern European members.

Wagner boss Yevgeny Prigozhin was reported to have arrived in Belarus on Tuesday under a deal negotiated by Belarusian President Alexander Lukashenko, which narrowly prevented the mercenaries from marching on Moscow on Saturday after the private army mutinied against Russia’s military leaders.

“If Wagner deploys its serial killers in Belarus, all neighbouring countries face even bigger danger of instability,” Lithuanian President Gitanas Nauseda said after a meeting in The Hague with NATO’s Stoltenberg and government leaders from six other NATO allies.

Polish President Andrzej Duda said he hoped the threat posed by Wagner mercenaries to NATO would be on the agenda at a summit of all 31 members in Vilnius, Lithuania, on July 11-12.
“This is really serious and very concerning, and we have to make very strong decisions. It requires a very, very tough answer of NATO,” Duda said.
Mwanamume kutua tu Belarus, NATO vijambio vinawapwita sasahivi mwendo wa vikao tu kama wanga
 
Kama Putin alishindwa kuichukua Kyiv February Mwaka jana na jeshi rasmi akitokea Belarus kukiwa na msafara wa kilometa zaidi ya 60 wa vifaru huku Ukraine ikiwa haina silaha kama ilizo nazo leo basahu sahau kuichukua akiwa na jeshi la mamluki.
Uwe unafuatilia mambo. Kilichorudisha ni mkataba wa makubaliano huko Turkey. Russia akaheshimu mkataba kama sehemu ya maridhiano akasitisha safari ya kiev makusudi.
 
Nilona kabisa hii ni planned game ,uhaini na prigo kwenda kishkaji kabisa pale Bela na Russia wamefutilia mbali uchunguzi wa kuwachunguza Wagner na wanaingizwa kwenye kikosi Cha Rusia Moja kwa Moja ...what a game Putin ni mtu mjanja na katili sana ila amecheza na akili zao na Lengo ni kuchkua kyiv ambapo ni karibia km 400 tuu Toka Belarus
Kama ni plan ,waliipanga vzr
 
Uwe unafuatilia mambo. Kilichorudisha ni mkataba wa makubaliano huko Turkey. Russia akaheshimu mkataba kama sehemu ya maridhiano akasitisha safari ya kiev makusudi.
Acha porojo wewe,

Javelin missiles ndio zilikimbiza vifaru vya Urusi Kyiv.
 
Nato hawakuweza kuingia moja kwa moja vitani nchini Ukraine kwa sababu Ukraine mpaka sasa bado hajawa mwanachama wao (NATO).
Lakini endapi Urusi itaanzisha vita na nchi mohawapo mwanachama wa NATO basi upo uwezekano mkubwa sana NATO wataingilia kati, hata Putin analijua hili ndio maana yupo makini sana na vita yake ili asimchokoze mwanachama yoyote wa Nato kwa sasa.

Libya alimpiga mwanachama gani wa NATO?? mbona walienda kumvamia kwa mbwembwe zote.??
 
Kwa hiyo NATO wanawaogopa hao wanamgambo hahaha
 
Libya alimpiga mwanachama gani wa NATO?? mbona walienda kumvamia kwa mbwembwe zote.??
Baraza la usalama la UN walipitisha azimio 1973 lilitoa kibali kwa NATO au muungano wa kijeshi wenye nguvu kuweka no fly zone Libya, Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa na hawakupinga hilo azimio.
 
Hii ndo no fly zone??
IMG_1692.jpg

Vipi kuhusu Iraq? Alimvamia mwanachama gani wa NATO??
 
Back
Top Bottom