NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

Urusi atawakana hao masenaries hadharani ila lengo ni kuwapa nafasi ya kuichafua Poland tena atawakana sana tu na majomba wataishi mafichoni belarus, mchezo ndo umeanza sasa msitegemee hawa masenaries warudi tena Ukraine, misio inaelekea kweye death zone.
Ulivyowaza wewe na mimi ndio ninavyofikiria.Huenda wataitwa kundi la ugaidi ila nyuma ya pazia atawapa silaha wakichafue ndani ya Nato na kama mbwai na iwe mbwai.
 
Unataka kuijua NATO?
Mwambie Putin aivamie Poland,member mkubwa wa NATO , ndo utaacha kuwashwa washwa
We fala kweli aisee, poland ni member mkubwa nato kwa vigezo gani? Putin aivamie poland imehatarisha vp usalama wa Urusi? Na hata wakihatarisha Russia ana base kubwa sana ya Kalingrad mlangoni mwa poland so ita deal nae. Nato wanaiogopa Urusi kuliko Urusi inavowaogopa nato ndo maana wanashindwa kumpa membership Ukraine kwa sababu wanajua akiwa member huku akiwa vitani na Urusi watalazimika ku envoke article 5 kumlinda mwenzao na hii automatically inawaweka vitani direct na Urusi kitu ambacho nato hawako tayari kukifanya
 
akikujibu nistue...
 
BRICS imeja ushoga tele, Brazil na Africa Kusini ndoa za jinsia moja zinaruhusiwa kikatiba. Ushoga sio kosa pia Urusi na China.
Kwa hiyo unasemaje tuje kula mzigo au?
 
Back
Top Bottom