inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ili tusione ligi ya uingereza na sisi arsenal tushaamua kusajili kwa mihela!!?..acha ujinga mzeeNatamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
NATO huwa haipigi nchi, labda kuingilia pale panapokuwa na mzozo. Kama Prighozin angefanikiwa kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Urusi huenda NATO ingeingilia kuhakisha silaha za nuclear haziangukii mikononi mwa makundi au watu wendawazimu zaidi.na NATO haitothubutu kumpiga mrusi wanaogopa hicho hicho
NATO ya NYOKO 🙄🙄😁😁😂😂Achana na NATO wewe., Kama Ukraine tu kaisambaratisha Wagner bakhmuti itakuwa mziki wa NATO, ivi NATO unaijua au unisikia tu zaidi ya nchi 32.,
Kwani Bakhmut anai control nani as we speak? Hivi nato wa Jf mna shida gani?Achana na NATO wewe., Kama Ukraine tu kaisambaratisha Wagner bakhmuti itakuwa mziki wa NATO, ivi NATO unaijua au unisikia tu zaidi ya nchi 32.,
Kuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi
Na mimi ndio nashangaa.Kama Putin alishindwa kuichukua Kyiv February Mwaka jana na jeshi rasmi akitokea Belarus kukiwa na msafara wa kilometa zaidi ya 60 wa vifaru huku Ukraine ikiwa haina silaha kama ilizo nazo leo basahu sahau kuichukua akiwa na jeshi la mamluki.
Ha ha ha haa ,aisee NATO wana mda mfupi sana wa furaha hapa duniani,halafu Wana mda mrefu sana wa majonzi.Si walifurahi alivyoingiaa Moscow na jeshi wakamshangilia?
Sasa wanachukia nini akiingia Poland au Lithuania? Waendelee kushangilia
Hiyo haiwezekani Sasa,maana NATO wanaiogopa Urusi balaa.Natamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
Waoga hao!Yaani wao kuwasogelea Urusi na Belarus ni sawa..ila Prigo tu kusogea Belarus imekuwa kelele.... Shenz kabisa minato...
Kwa hiyo Ukraine watakomboa ardhi waliyonyng'anywa.Wagner is no more....
Nato hawakuweza kuingia moja kwa moja vitani nchini Ukraine kwa sababu Ukraine mpaka sasa bado hajawa mwanachama wao (NATO).Hiyo haiwezekani Sasa,maana NATO wanaiogopa Urusi balaa.
Kama Ingekua ni Libya,Iraq ,yugo na Afghanistan wangeshaingia zamani.
Pole sana ndugu,mawazo Yako hayawezi kutokea Leo hii.
Hata Rais wa USA alishasema "safari hii hawataingiza majeshi ya USA Kwa sababu Urusi ni jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni,Urusi sio mtandao wa magaidi."
Wanaogopa hadi mtu wanayemuita gaidi,si waende Belarusi wakamkamate,mbona Osama walimfuata ncbi za watuHa ha ha haa ,aisee NATO wana mda mfupi sana wa furaha hapa duniani,halafu Wana mda mrefu sana wa majonzi.
Dunia inazunguka kwa Kasi mno,Leo hii NATO wanaishi kwa hofu kuliko wapalestina.Dah.
Sijui mnawazaga kwa kutumia makalio?NATO huwa haipigi nchi, labda kuingilia pale panapokuwa na mzozo. Kama Prighozin angefanikiwa kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Urusi huenda NATO ingeingilia kuhakisha silaha za nuclear haziangukii mikononi mwa makundi au watu wendawazimu zaidi.
Libya yalikuwa machafuko na uasi wa ndani, rudia kusoma nilichoandika wewe kilaza.Sijui mnawazaga kwa kutumia makalio?
Libya na Iraq ni mitaa?
Au wakipiga jeshi linalomuunga mkono rais wanakuwa hawajapiga nchi
Wanaona mbali ndio maan waliona pia kuwa Urusi alikuwa anajipanga kuvamia Ukraine , ila mlibisha nyiny wavaa kobazKuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi
Kwan wagner ni raia wa wap ? Mpk waingie poland na lithuaniaSi walifurahi alivyoingiaa Moscow na jeshi wakamshangilia?
Sasa wanachukia nini akiingia Poland au Lithuania? Waendelee kushangilia
Kwan mwanzon si walishambulia kutokea Beralus au unazungumzia Beralus ip?Nilona kabisa hii ni planned game ,uhaini na prigo kwenda kishkaji kabisa pale Bela na Russia wamefutilia mbali uchunguzi wa kuwachunguza Wagner na wanaingizwa kwenye kikosi Cha Rusia Moja kwa Moja ...what a game Putin ni mtu mjanja na katili sana ila amecheza na akili zao na Lengo ni kuchkua kyiv ambapo ni karibia km 400 tuu Toka Belarus
Jinga hiliLibya yalikuwa machafuko na uasi wa ndani, rudia kusoma nilichoandika wewe kilaza.
NATO haijawahi kushiriki katika vita vya Iraq.