NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

Tatizo lako u dont have detailed information about russia na unaiona ni kama kanchi fulani labda kama Lesotho siyo hivyo mkuu huwezi tuma mbwa kumtisha Dubu
utakuwa umempelekea dubu msosi!
 
Zakwako za kizee ziko wapi? Vita ya mrusi marekali lazima ale mbio fuatilia haya mambo upate raha siyo unazomoka from no where
Mie sikuona haja ya kumjibu! Yeye anaamini propaganda za marekani tu!
 
Kaka hiyo Russia Ina uchumi gani wa kushindana hata na Germany au UK!?
US anataka kuwa mbadala wa Russia Ulaya ktk kitu gani!?
Hiyo Russia tofauti na gesi Ina supply nn Cha maana Ulaya kuizidi USA!?
Mind you kaka Russia ina hali mbaya kiuchumi kwasasa wananchi washaanza kuteseka pesa ya ruble inashuka kwa kasi.
Kama unategemea Ulaya iteseke kiss gesi toka Russia umechemka bro.
DUNIANI SUPPLIER MKUBWA WA MAFUTA NI MATAIFA YA UARABUNI ILA KIPINDI CHA YOMKIPPUR WAR 1973 KISA KUIOKOA SYRIA AMBAYO ILIKUA IKIPOKEA KICHAPO KITAKATIFU TOKA ISRAEL WAKASUSIA KUUZA MAFUTA ULAYA.
KILICHOWAKUTA WANAUME WAKASUSA KWELI NA WAO KUNUNUA MAFUTA YAO WALIOMBA POO WENYEWE NDIO MKATABA WA CAPE DAVID UKAUNDWA.
ACHANA NA USA NA EU WALE JAMAA KIUCHUMI NDIO WANAONGOZA DUNIANI HAWAKOSAGI MBADALA.
hivi weweeeee unaijua 'geopolitics' za ulaya na urusi weweeeee?
Hayo mataifa ya ulaya yamekuwa 'overrated sana' kumbuka kuna mchina yupo nyuma ya mrusi! By the way, waarabu wanamsapoti urusi katika hili unasemaje hapo sasa!
 
Warusi wako vizuri sana kwenye upelelezi na pia wana misimamo hawana ndimi mbili mrusi akikwambia kitu ndicho atakachofanya na pia ukifuatilia historia Ukraine na Urusi zote zilikuwa ni Soviet countries na yupo karibu na Ukraine sasa kuruhusu Ukraine kujiunga NATO na kujenga kituo cha nyuklia huo ni uchokozi na ni threat kubwa kwa urusi
 
Nimeipenda hii 'comment' ya mmarekani:
As an American and very upset of what is happening to the Ukrainian people, it’s insights from these respected generals that give us pause to take a realistic view of what we can and cannot do. Since this war started I’ve read a lot of history about Russia, Ukraine, and American foreign policy in dealing with Russia and I keep coming back to the missed opportunities we had when the old Soviet Union collapsed. Why we didn’t attempt to work closer together and tried to build some kind of trust between us. Instead we came up with a policy to allow former Soviet states such as Georgia and Ukraine to join NATO right in the backyard of the Russian bear. Russia protested all these policies, but we kept pushing and now Putin is pushing back. Even the NATO allies at that time when President George W. Bush was president thought that wasn’t a very good idea but went along with it. Now we can’t protect those people and they’re being slaughtered on the streets and when it’s all over, the Russian will have achieved two objectives. One, bringing Ukraine back in line and part of Russia and finally the Ukrainian people will remember NATO and the United States abandoned them and will hate all of us for that. If the U.S. was in the same situation and Russia decided to let Mexico into its sphere of influence, do you think we would just sit by and allow that to happen? Hell no! Yep, we screwed the pooch on that one. God help us all if cooler heads don’t prevail. God bless the Ukrainian people
 
Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait.
Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait.

Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka kujitenga wa mji wa Kosovo Huku wakikimbia bila kujua wanakimbilia wapi.
Yalikua ni mapigano ya kikabila.

NATO wakaingilia kati na kushusha kipigo Cha mabomu Cha Hali ya juu katika miji na vijiji vya Yugoslavia upande wa Serbia iloyokua ikiongozwa na Milosevic aliekua anawashusgia vipigo vikali sana wakosovo,na hatimae Milosevic akasalimu amri.

NATO walifanya hayo hayo kwa Yugoslavia Huku umoja wa mataifa ukipinga kuwa damu itamwagika sana, bila idhini ya umoja wa mataifa NATO walipiga mabomu sana upande wa Serbia.

Marekani alipiga Tena Iraq yeye na washirika wake kwa madai kuwa Iraq ilikua imeficha silaha za maangamizi.(weapons of Mass destruction) WMD.

Wamarekani na washirika wake na wapambe wao walishiriki vita hizo na hatimae Wakamkamata Rais wa Iraq akiwa mzima na kumkabidhi kwa wairaq wasio mpenda wakamnyonga.

Muamar Ghadafi wa Libya nae hakuweza kukwepa mkono mmoja wa Baadhi ya Wanachama wa NATO Marekani na Ufaransa .

Baada ya kuonekana Gadafi anaua raia wake kwa wingi kutokana na guvu ya jeshi lake ,ilibidi Marekani na Ufaransa wakatimia madege kudhoofisha uwezo wa jeshi la Libya na hatimae Gadafi kuzidiwa na kukamatwa na mwisho kuuwawa.

Leo najiuliza NATO wamefikwa na nini?
Matendo anavyofanya Urusi huko Ukraine yanafanana kabisa na matendo ya akina Milosevic,Saddam na Ghadafi.
Marekani na NATO waliweza kushusha mabomu na kuwamaliza nguvu maraisi hao.

Sasa hivi masikini,ukweli nimeingiwa na huruma ,Ukraine inaadhibiwa na Urusi NATO hiihii ambayo ilimpa matumaini Zelensky inaangalia TU jinsi anavyofedheheshwa.

Zelensky Yuko chumbani kwake amevamiwa anapiga mayowe,makele,mwano na Kila aina ya kuomba msaada majirani na marafiki waliokua wanampa matumaini wamesimama pembeni mwa madirisha wanachungulia TU.

Sababu wanayotoa Haina mashiko,kuwa NATO ni kwa ajili ya Wanachama TU.

Ok basi tuache uanachama,tuaangalie na ubinadamu TU,kwa mfano Kuwait,Kosovo,na Libya hazikua Wanachama wa NATO lakini ubinadamu ulikuja na kuwaokoa watu wa nchi hizo.

Sasa kwa Nini NATO inakua na ubaguzi namna hii?

Ukweli sipendi vita,vita inaharibu Kila kitu.watu wasio na makosa ama hatia wanakufa bila sababu wanaacha makazi na kazi zao wanakimbilia kusukijulikana.

NATO- Kuiwait,Kosovo na Libya waliingilia kijeshi lakini nchi zote hizo hazikua Wanachama na kwingine hata umoja wa mataifa haukutoa baraka .

Anachokifanya Urusi Leo kwa Ukraine walifanya akina Sadam,Ghadafi na Milosevic.

Labda tofauti ni ndogo TU,Urusi yeye anasema anaharibu miundimbinu ya kijeshi tuu.
NATO wanapenda wanyonge.. Mziki wa urusi ni mchezo!!
 
Ukitaka kumwangamiza Mbwa mpe jina baya, hicho ndicho kinafanyika kwa Rusia Sasa,japo sijajua wanataka kumwangamiza kwa style ipi....sumu ambo sawa na vikwazo au kitu gani.

Ila tuombe Mungu busara impate Rais wa Rusia bila hivyo wananchi wake wataumia vibaya mno. Au labda watakula gesi walionayo kwa wingi.
Yaani wewe inaonekana haya mambo ya siasa za kimataifa yamekupita kushoto...Yaani marekani na NATO wamuangamize Russia!🙄 Utakuwa umeamua kuchekesha kama huyo rais mchekeshaji wa Ukraine.
Kifupi ni kwamba marekani na NATO wameshajaribu kuingia Russia mara 2, kwenye world war I na World war II, walipigwa vibaya sana na hawatothubutu tena. Ndo maana unaona wamemuacha Ukraine mkiwa ahangaike na mwenyewe
 
Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait.
Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait.

Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka kujitenga wa mji wa Kosovo Huku wakikimbia bila kujua wanakimbilia wapi.
Yalikua ni mapigano ya kikabila.

NATO wakaingilia kati na kushusha kipigo Cha mabomu Cha Hali ya juu katika miji na vijiji vya Yugoslavia upande wa Serbia iloyokua ikiongozwa na Milosevic aliekua anawashusgia vipigo vikali sana wakosovo,na hatimae Milosevic akasalimu amri.

NATO walifanya hayo hayo kwa Yugoslavia Huku umoja wa mataifa ukipinga kuwa damu itamwagika sana, bila idhini ya umoja wa mataifa NATO walipiga mabomu sana upande wa Serbia.

Marekani alipiga Tena Iraq yeye na washirika wake kwa madai kuwa Iraq ilikua imeficha silaha za maangamizi.(weapons of Mass destruction) WMD.

Wamarekani na washirika wake na wapambe wao walishiriki vita hizo na hatimae Wakamkamata Rais wa Iraq akiwa mzima na kumkabidhi kwa wairaq wasio mpenda wakamnyonga.

Muamar Ghadafi wa Libya nae hakuweza kukwepa mkono mmoja wa Baadhi ya Wanachama wa NATO Marekani na Ufaransa .

Baada ya kuonekana Gadafi anaua raia wake kwa wingi kutokana na guvu ya jeshi lake ,ilibidi Marekani na Ufaransa wakatimia madege kudhoofisha uwezo wa jeshi la Libya na hatimae Gadafi kuzidiwa na kukamatwa na mwisho kuuwawa.

Leo najiuliza NATO wamefikwa na nini?
Matendo anavyofanya Urusi huko Ukraine yanafanana kabisa na matendo ya akina Milosevic,Saddam na Ghadafi.
Marekani na NATO waliweza kushusha mabomu na kuwamaliza nguvu maraisi hao.

Sasa hivi masikini,ukweli nimeingiwa na huruma ,Ukraine inaadhibiwa na Urusi NATO hiihii ambayo ilimpa matumaini Zelensky inaangalia TU jinsi anavyofedheheshwa.

Zelensky Yuko chumbani kwake amevamiwa anapiga mayowe,makele,mwano na Kila aina ya kuomba msaada majirani na marafiki waliokua wanampa matumaini wamesimama pembeni mwa madirisha wanachungulia TU.

Sababu wanayotoa Haina mashiko,kuwa NATO ni kwa ajili ya Wanachama TU.

Ok basi tuache uanachama,tuaangalie na ubinadamu TU,kwa mfano Kuwait,Kosovo,na Libya hazikua Wanachama wa NATO lakini ubinadamu ulikuja na kuwaokoa watu wa nchi hizo.

Sasa kwa Nini NATO inakua na ubaguzi namna hii?

Ukweli sipendi vita,vita inaharibu Kila kitu.watu wasio na makosa ama hatia wanakufa bila sababu wanaacha makazi na kazi zao wanakimbilia kusukijulikana.

NATO- Kuiwait,Kosovo na Libya waliingilia kijeshi lakini nchi zote hizo hazikua Wanachama na kwingine hata umoja wa mataifa haukutoa baraka .

Anachokifanya Urusi Leo kwa Ukraine walifanya akina Sadam,Ghadafi na Milosevic.

Labda tofauti ni ndogo TU,Urusi yeye anasema anaharibu miundimbinu ya kijeshi tuu.
Putin anataka kufanya watu waingie kwenye mgogoro wa ukraine aseme sio Sisi ni westerner .Na NATO wakiiingilia tu ni ww111
 
Urusi sio nchi hizo ulizozitaja

Technology ya vita yuko juu pengine kumzidi hata huyo mmarekani, ila kwasababu mmarekani hufanya namna kuonekana yeye yupo juu muda wote.

Ukitoa ukubwa na uzuri wa Technology ya vita, Kiongozi kuwa na msimamo ulio dhabiti ni siraha ya kwanza.

Wakati huo au ule sio sasa, Russia ana siraha kali kiasi kwamba wakisema kianze, Patachimbika.
Lkn hatatokea mshindi kwasababu hakuna atakayebaki salama.
 
Back
Top Bottom