NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

Tatizo lako u dont have detailed information about russia na unaiona ni kama kanchi fulani labda kama Lesotho siyo hivyo mkuu huwezi tuma mbwa kumtisha Dubu
utakuwa umempelekea dubu msosi!
 
Zakwako za kizee ziko wapi? Vita ya mrusi marekali lazima ale mbio fuatilia haya mambo upate raha siyo unazomoka from no where
Mie sikuona haja ya kumjibu! Yeye anaamini propaganda za marekani tu!
 
hivi weweeeee unaijua 'geopolitics' za ulaya na urusi weweeeee?
Hayo mataifa ya ulaya yamekuwa 'overrated sana' kumbuka kuna mchina yupo nyuma ya mrusi! By the way, waarabu wanamsapoti urusi katika hili unasemaje hapo sasa!
 
Warusi wako vizuri sana kwenye upelelezi na pia wana misimamo hawana ndimi mbili mrusi akikwambia kitu ndicho atakachofanya na pia ukifuatilia historia Ukraine na Urusi zote zilikuwa ni Soviet countries na yupo karibu na Ukraine sasa kuruhusu Ukraine kujiunga NATO na kujenga kituo cha nyuklia huo ni uchokozi na ni threat kubwa kwa urusi
 
Nimeipenda hii 'comment' ya mmarekani:
As an American and very upset of what is happening to the Ukrainian people, it’s insights from these respected generals that give us pause to take a realistic view of what we can and cannot do. Since this war started I’ve read a lot of history about Russia, Ukraine, and American foreign policy in dealing with Russia and I keep coming back to the missed opportunities we had when the old Soviet Union collapsed. Why we didn’t attempt to work closer together and tried to build some kind of trust between us. Instead we came up with a policy to allow former Soviet states such as Georgia and Ukraine to join NATO right in the backyard of the Russian bear. Russia protested all these policies, but we kept pushing and now Putin is pushing back. Even the NATO allies at that time when President George W. Bush was president thought that wasn’t a very good idea but went along with it. Now we can’t protect those people and they’re being slaughtered on the streets and when it’s all over, the Russian will have achieved two objectives. One, bringing Ukraine back in line and part of Russia and finally the Ukrainian people will remember NATO and the United States abandoned them and will hate all of us for that. If the U.S. was in the same situation and Russia decided to let Mexico into its sphere of influence, do you think we would just sit by and allow that to happen? Hell no! Yep, we screwed the pooch on that one. God help us all if cooler heads don’t prevail. God bless the Ukrainian people
 
NATO wanapenda wanyonge.. Mziki wa urusi ni mchezo!!
 
Yaani wewe inaonekana haya mambo ya siasa za kimataifa yamekupita kushoto...Yaani marekani na NATO wamuangamize Russia!🙄 Utakuwa umeamua kuchekesha kama huyo rais mchekeshaji wa Ukraine.
Kifupi ni kwamba marekani na NATO wameshajaribu kuingia Russia mara 2, kwenye world war I na World war II, walipigwa vibaya sana na hawatothubutu tena. Ndo maana unaona wamemuacha Ukraine mkiwa ahangaike na mwenyewe
 
Putin anataka kufanya watu waingie kwenye mgogoro wa ukraine aseme sio Sisi ni westerner .Na NATO wakiiingilia tu ni ww111
 
pata shule ya bure hapa!
 
Hapo watakuwa wanakaribisha VITA KUU YA 3 YA DUNIA
 
Lkn hatatokea mshindi kwasababu hakuna atakayebaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…