Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hakuna kitu ambacho mrusi hakukijua toka mwanzoni,,,, wamagharibi michezo yao ni ileile hawana mbinu mbadala na mrusi alishajua akishawagusa ukraine nini kinafata,,,,,,hii vita anaitumia kuipa nguvu brics na kuionyesha dunia maisha bila wamagharibi yanawezekana.............hao wamekumbatia madola ambayo kwenye mtikisiko wa uchumi ujao hayatasaidia kitu, huku mrusi anajikusanyia rasilimali na akibeba hilo eneo la ukraine atajiongezea utajiri mkubwa kuliko hivyo vidola walivyovifungia mabepari, maana maeneo anayoyataka mrusi nchini ukraine kiuchumi yana umuhimu mkubwa,,,,,,vita itaisha kwa mrusi kuimega ukraine na kule kiev kuweka kibaraka wake........yule mfungwa ambae ndo alikua kiongozi mkuu wa upinzani nchini ukraine anaweza akapewa nchi na mrusi,,,,,jamaa wana hesabu ndefu.......hawezi kuomba raia 1 tu kwa wanajeshi kibao wa ukraine huku akiwaacha wanajeshi wake mateka halafu amchukue raia mmoja tu wa ukraine......................Hakuna eneo hata moja kwenye ardhi ya Ukraine ambayo urusi wamechukua na kuwa comfortable kufanya shughuli za kichumi ni propaganda ya hali ya juu umelishwa, miji waliyotangaza urusi kuchukua ni partially hayako full controlled na urusi vita inaendelea ingawa ni kweli Urusi alikuwa na mpango wakupora hayo maeneo kujimilikisha rasilimali lakini kilichomkuta hakutegemea ndio maana hadi mwaka umeisha bado anapeleka makundi haya na haya kwenye vita wanajeshi wake wanaambulia kufa tu.
Vita alii miscalculate vibaya na sasa anakumbana na changamoto ambazo Urusi kurudi kiuchumi ni ndoto, raia wake wanahama nchi maisha yamekuwa magumu urusi na juzi ametunga sheria kuwazuia raia wake wasiondoke au atawalipisha kodi mara 2 lakini wimbi ni kubwa hata urusi sasa wanaishi kwa khofu.
Marekani wanataifisha hela za matajiri wa kirusi walizoekeza Ulaya na Marekani kuzitoa msaada Ukraine zikiwemo hela za mtoto wa Putin ni vile Putin vita inamugharimu yeye peke yake sasa amekodi silaha kutoka Iran kila ndege na droon inayoangushwa inasoma toka Iran, putin amebakiwa na nuclear ambayo sasa hataweza kutumia alitishia vya kutosha lakini akachemsha watu wanasonga mbele