WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Kwakweli watanzania tunajifanya kana kwamba kila kitu tunakijua, unamkuta mtu ambaye hata level yake kielimu ni ya kutia mashaka but anajifanya yeye ndiye gwiji wa diplomasia ya kimataifa.
Wengi humu wanajifanya ni wataalamu wa masuala ya kivita na ni wachambuzi haswa kuliko hata warusi na wamarekani, nakwambia unakuta mtu hata hajui historia ya hizo nchi but hapa jamvini ni gwiji duh!
Tuache ujuaji, tuache ushabiki usio na maana wowote, ni vyema tulinde hadhi yetu kama watanzania, watu wenye akili na uchambua mambo kisomi ok