NATO wasema wanafukuzana na wakati kuiwahi Urusi

Kwakweli watanzania tunajifanya kana kwamba kila kitu tunakijua, unamkuta mtu ambaye hata level yake kielimu ni ya kutia mashaka but anajifanya yeye ndiye gwiji wa diplomasia ya kimataifa.

Wengi humu wanajifanya ni wataalamu wa masuala ya kivita na ni wachambuzi haswa kuliko hata warusi na wamarekani, nakwambia unakuta mtu hata hajui historia ya hizo nchi but hapa jamvini ni gwiji duh!

Tuache ujuaji, tuache ushabiki usio na maana wowote, ni vyema tulinde hadhi yetu kama watanzania, watu wenye akili na uchambua mambo kisomi ok
 
Si kweli kwamba Russia ilisema itaishughulikia Ukraine ndani ya masaa 72 bali walisema waaanzisha operesheni maalum ya kuondoa unazi na uwezo wa kijeshi wa Ukraine ambao utakuwa ni tishio kwake.

Hiyo ni kwasababu mbili.

1. NATO na USA kushindwa kuelewa katazo la Russia kwamba wasisogee karibu yake kwa kuingia Ukraine.

2. Kwa ajili ya kuimarisha usalama wake.
 
Russia is closing in pale Bakhmut.

Vyombo vya habari vya magharibi haviwezi kusema haya.

Ukraine yajiandaa kujibu mapigo mwezi ujao baada ya kupokea shehena ya silaha jambo ambalo linawafanya wapoteze uwezo huo.
 
Mkuu mtu mwenye hofu zaidi ni Putin kwamba inakuwaje Taifa kubwa kama Russia tulivyokuwa tunaambiwa hapo kabla kiongozi wao mkubwa wa kijeshi sasa anakuwa chini ya kundi la Wagner Group kwenye vita kule Ukrean kikundi kidogo cha kukodi
Wagner ni Private Military Company inafanya kazi chini ya amri ya Putin na amehusika kuiunda na inafanya operations za nje ya Russia na brings more money to Russia and Putin's pocket na few Orligachs ktk cirle yake.
 
sijui Zelensky alikubari je kuchonganishwa na wenda wazimu wa magharibi dhidi ya Urusi


Zelensky ni pando (product) ya Marekani, Marekani alifanya njama yule Rais wa kabla ya Zelensky (Zelensky predecessor) ambaye alikuwa ni Pro-Russia akaondolewa madarakani kwa njama za Marekani/NATO ili iwe rahisi kwa Ukraine kujiunga na NATO ili kuithibiti Urusi kijeshi kupitia Ukraine kwa minajili ya kuiteza nguvu za kimkakati (strategic position), Putin akawashtukia juu ya huo mchezo na ndio maana utaona Marekani hapati usingizi inapoona Ukraine ikila kichapo kwani inajua yenyewe kimsingi ndio sababu ya hii vita.
 
Na mrusi akifanikiwa hapo kiev ataacha kibaraka wake, lazima amtoe kibaraka wa marekani
 
This is rubbish, utter rubbish. This senseless war has been caused by the policies of expansionism run by dictator Putin. He promised to subdue Ukraine in about 72 hours but now the war is running into one year and he is struggling to concur some settlements in Ukraine.
 
Anae strugle anaonekana haihitaji propaganda......na hata wanaolia kiuchumi wanaonekana ,,,,,halijifichi kwa sasa......mrusi akili kubwa sana anatwanga ndege wa 3 kwa jiwe 1.......kisiasa, kiuchumi, mtizamo wa kijamiii.,.......kwa ka vita ka sehemu 1 tu wakati kuna maboya wamelazimisha vita uchwara sehem mbalimbali duniani ili wayapate anayoyapata mrusi kwa sasa kwa ka oparesheni kamoja tu
 
Pre decessor wa zelensky ni Petro poroshenko ..na Alikuwa pro west ,,.....yule pro Russian alipinduliwa na maandamano makubwa yaitwyo euromaidan 2014
 
Tuoneshe huo msafara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO wapo vitani RUSSIA yupo kwenye SMO nayupo tayari hata miaka 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO waende wakaitetee UKRAINE hii dikteta cjui expanshenizm haitasaidia kitu huko SMO inaendelea na itaendelea mpaka malengo yafikiwe

SMO iendeleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wajitutumue kweli, wakichelewa kidogo tu watawakuta Warusi wameshajimilikisha nchi.
Wahuni wameanzisha jambo lao na lazima walitimize!
hahaa!!wakati kiongozi wa eti kundi hatari la wagner amesema wazi kuwa Urusi kuyachukua maeneo hayo tu itawachukua kama miaka 2!!!
 
Mimi mpaka sasa nashangaa wasomi wa Pentagon na NATO kushindwa kutumia akili kuepusha janga la kibinadamu.

My heart inasimama na raia wanaoathirika na hizi showcases za gadgets.

So imbecile hii vita
 
Hivi Vita vimeleta hasara kubwa kwa wahusika na dunia kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…