Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
-
- #421
Mkuu kua serious au una impairment yoyote?Nahitaji mpenzi wa Dodoma jaman, nitaweza kumpata
Leo nilitoa hapa ushauri Kwa wanaishi dar es salaam.
Fungua ofisi masokoni, anzisha delivery system watu weng wa DSM wanakwenda tu sokoni bila kupenda..
Akipatika a muaminifu kama kampuni. Nyanya, kitunguu, hoho nk watu wangetulia kukusubiria wewe.
Obvious sokoni bidhaa bei chee unauwezo wa kuweka bei pendwa, Kwa kuzingatia ubora na usafi(hygiene) wa bidhaa ulizo point nk.
Usafi ni muhim Sana Tena ukafanya packing nzuri utauza Sana
[/QUOTE nice
Yani tena ya chemical engineeringHuyu jamaa kanichekesha sana eti interview unapiga? [emoji1787][emoji1787]
😄 😄 😄 anazingua sana.Yani tena ya chemical engineering
Hii huduma bado ipo hiiMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Ipo na inaendelea.Hii huduma bado ipo hii
Asante sana.HONGERA mkuu Kwa kuwa kwenye game Kwa kitambo kidogo bila feedback yeyote mbaya Kwa wateja wako.
TRUST ni kitu kikubwa Sana kukijenga na kukiimarisha, ila Ni Jambo dogo Sana na hata la sekunde kadhaa kulivunja, na punde Tu Uaminifu unapotoweka kuna uwezekano mkubwa husiweze kujengeka tena.
Nimeupenda huu ubunifuMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Acha kuwa negative jamaa yupo kitambo humu na anatoa huduma na kusaidia watu wasioweza kufika huko Dodoma kwa shughuli mbalimbali bila shida yeyoteHakuna watakaopigwa hapa kweli😂😂😂, nimeuliza tu
Punguza jazba mkuu nimeuliza swali ulipaswa kujibu au yeye kujibuAcha kuwa negative jamaa yupo kitambo humu na anatoa huduma na kusaidia watu wasioweza kufika huko Dodoma kwa shughuli mbalimbali bila shida yeyote
Karibu sana,upate huduma kama wenzako waliopata,wanaopata na watakaoendelea kupata.Nimeupenda huu ubunifu
Hakuna aliyepigwa,anayepigwa au atakayepigwa.Huduma hii imekua ikitolewa muda mrefu,kungekua na uhalifu wowote ningekua nimekamatwa na kuchukuliwa hatua stahki.Karibu sana.Nimeuliza swali au hujaona?
Nashukuru sana BossKaribu sana,upate huduma kama wenzako waliopata,wanaopata na watakaoendelea kupata.
Nashukuru kwa huu ufafanuzi Boss, na nimeridhika na hili jibuHakuna aliyepigwa,anayepigwa au atakayepigwa.Huduma hii imekua ikitolewa muda mrefu,kungekua na uhalifu wowote ningekua nimekamatwa na kuchukuliwa hatua stahki.Karibu sana.
Karibu sana.Nashukuru kwa huu ufafanuzi Boss, na nimeridhika na hili jibu