Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Nahitaji mpenzi wa Dodoma jaman, nitaweza kumpata
Mkuu kua serious au una impairment yoyote?
Mi nashughulika na jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma.Miongoni mwa hayo mambo ni kama
 
Attachments

  • messenger 1.jpg
    messenger 1.jpg
    1.3 MB · Views: 15
Leo nilitoa hapa ushauri Kwa wanaishi dar es salaam.

Fungua ofisi masokoni, anzisha delivery system watu weng wa DSM wanakwenda tu sokoni bila kupenda..

Akipatika a muaminifu kama kampuni. Nyanya, kitunguu, hoho nk watu wangetulia kukusubiria wewe.

Obvious sokoni bidhaa bei chee unauwezo wa kuweka bei pendwa, Kwa kuzingatia ubora na usafi(hygiene) wa bidhaa ulizo point nk.

Usafi ni muhim Sana Tena ukafanya packing nzuri utauza Sana
[/QUOTE nice
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Hii huduma bado ipo hii
 
HONGERA mkuu Kwa kuwa kwenye game Kwa kitambo kidogo bila feedback yeyote mbaya Kwa wateja wako.

TRUST ni kitu kikubwa Sana kukijenga na kukiimarisha, ila Ni Jambo dogo Sana na hata la sekunde kadhaa kulivunja, na punde Tu Uaminifu unapotoweka kuna uwezekano mkubwa husiweze kujengeka tena.
 
Asante sana.
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Nimeupenda huu ubunifu
 
Hakuna watakaopigwa hapa kweli😂😂😂, nimeuliza tu

Back
Top Bottom