Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Pambana sana kijana jitangaze hivi uaminifu ni silaha.
 
Kama una ujanja na manunuzi pia ungetaja maana kuna vitu vizuri vinauzwa lakini tunapoteza imani kuwatumia pesa bila hata bidhaa kukaguliwa.

Fikiria kufungua ofisi kwaajili ya hilo
Nashukuru sana kwa ushauri,nitalifanyia kazi ndugu yangu.Ofisi ntaifungua siku zijazo kadri huduma inavyokua,siyo siku nyingi.Asante
 
nice one. All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…