Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Okoa gharama za loji,gharama za usafiri hapa Dodoma,usumbufu wa kusafiri toka huko uliko,usumbufu wa usafiri hapa Dodoma na upotezaji wa muda pia,wakati suala lako halikulazimu wewe kufika hapa Dodoma.
Fanya mawasiliano,utahudumiwa inavyotakiwa kwa uweledi,kama wanavyohudumiwa wengine.Muda huu ujumbe unavyoandikwa, wenzako wanaendelea kuhudumiwa.
Piga/WhatsApp:0765920855
 
Mkuu hongera sana kwa wazo zuri sana la kibunifu, sema kua na tahaadhari na Matajiri wa Mahoteli na Nyumba za wageni maana wengine wanaweza kutafsiri Kama umewaharibia soko lao la kulaza wageni hapo Dodoma, watataka kuku eliminate!!!
 
Nashukuru sana,bilashaka watawapata wale ambao watalazimika kufika Dodoma,kwani si shughuli zote nazifanya bali ni kwa wale tu ambao uwepo wao hapa Dodoma,siyo wa lazima.
Hata hivyo nashukuru.Asante@
 
Fanya kama wenzako kwa kurejea bandiko ukurasa wa kwanza na kisha ufanye mawasiliano kwa kupiga au kwa WhatsApp:0765920855
 
Rejea bandiko lililopo ukurasa wa kwanza,fanya mawasiliano kwa namba husika,yaani 0765920855,inaweza kuwa kwa whatsapp au kwa kupiga kawaida.Utahudumiwa kwa weledi.Asante.
 
Toa maagizo,kwa 0765920855,jambo lako lishughulikiwe kama wenzako wanavyohudumiwa,kulingana na majukumu yanayoshabihiana na bandiko.Asante.
 
Fanya mawasiliano kama wafanyavyo wenzako,tusaidiane kutatua changamoto zisizokulazimu wewe kuwepo Dodoma.
Piga/WhatsApp:0765920855
 
Piga au tuma meseji whatsapp kwa namba 0765920855,tusaidiane kama bandiko linavyojieleza.Asante.
 
Wa Bukoba,Tanga,Kilimanjaro,Mara,Katavi,Lindi n.k,fanya mawasiliano,shughuli yako iwekwe kwenye ratiba.Utahudumiwa inavyotakiwa.
Normal calls/WhatsApp:0765920855
 
Tuzidi kuwasiliana,tusaidiane kama bandiko linavyojieleza.
0765920855 ni namba unayoweza kupiga au kutuma ujumbe kikawaida au kwa njia ya whatsapp.Asante.
 
Kazi bado zinashughulikiwa,wewe ambaye umejipanga kuja Dodoma msimu huu wa sikukuu,kushughulikia jambo ambalo unaweza ukamtuma mtu huku,akalishughulikia,tafadhari fanya mawasiliano:0765920855 kwa kurejea bandiko.
 
Back
Top Bottom