Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wafanyakazi hasahasa wa serikali pia na wa sekta binafsi kwa uchache, kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma).

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani,wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao(loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini,kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano:0765920855
Naomba konneksheni ya mtu mzito , idara ya mambo ya ndani hapo Dodoma, nataka nipambanie nafasi za uhamiaji.
 
Simu zinaendelea kupokelewa,fanya mawasiliano uwekwe kwenye ratiba,kwa wale wa maofisini,kesho asubuhi na mapema tukasaini kwenye vitabu vya wageni,tuwasilishe shida zenu na kisha tuzifanyie follow up kama kulingana na shida husika,kama Ni nyaraka,zikakabidhiwe in accordance.
Kwa wale wa parcels labda unataka ipokelewe kwenye kampuni gani,itapokelewa pia,au kuja kuchukuliwa na kutumwa sehemu.
Call:0765920855
Utafanyiwa kama utarajiavyo.
 
Leo safari inaanzia UTUMISHI,fanya mawasiliano shughuli itolewe na ifanyiwe kazi kama za wenzako.
Namba ni 0765920855
 
Hupaswi kujisumbua kusafiri all the way kutoka huko uliko,kwa shughuli ambayo haikulazimu wewe kuwepo huku.
Fanya mawasiliano.
 
Hongera kwa ubinifu huu mkuu. Kama utakuwa mwaminifu unaweza hata ukafanikiwa hadi kufikia kufungua kampuni ya ufuatiliaji wa matatizo ya wananchi. Mungu akubarik sanai. Vipi kuhusu wanaofuatilia issue za uhamisho, huduma hii hutoi?
 
Hongera kwa ubinifu huu mkuu. Kama utakuwa mwaminifu unaweza hata ukafanikiwa hadi kufikia kufungua kampuni ya ufuatiliaji wa matatizo ya wananchi. Mungu akubarik sanai. Vipi kuhusu wanaofuatilia issue za uhamisho, huduma hii hutoi?
Asante.
Nafuatilia kila suala lisilomlazimu mhusika mwenyewe kufika ofisi za huku Dodoma,kwahiyo hata Hilo suala,mimi nalifuatilia na mhusika kupata majibu stahki kutoka mamlaka husika,endapo kafanya taratibu zote kuanzia ngazi za chini na kufikia mkwamo sehemu flani.Asante.
 
Inasikitisha mtu anakuja Dodoma,unamkuta yuko ofisi za serikali Mtumba,shida iliyomleta nikuwasilisha barua ofisini,katoka mbali huko Bukoba,jamani watu kama hawa,na hii misukosuko ya kiuchumi ya Januari, tafadhari muwe mnawasaidia kwa kuwawezesha mawasiliano ili wahudumiwe pasipo ulzima wa wao kusafiri xx badala yake wasafirishe hizo barua kwa njia ya BASI,au njia yoyote,zipokelewe zikawasilishwe ofisi husika kwa gharama nafuu.
Anyway,ni mlango hadi mlango,namba ni 07659208555.Hata kwa wewe ambaye uko Dodoma ila yawezekana umetingwa na shughuli zako nyingine,toa kazi pia ili shughuli zako nyingine zisilale kwa kupanga foleni.Piga au tuma meseji kwa namba tajwa.
 
Ndugu,fanya mawasiliano iwe PM au kwa njia ya simu,kama wafanyavyo wenzako,utashughulikiwa shughuli yako vilivyo na kwa kiwango kilekile kama ambavyo ungeshughulikia wewe au zaidi.
0765920855
 
Okoa raslimali muda na pesa, tuwasiliane uwekwe kwenye ratiba,uhudiwe in accordance.
Namba ipo kwenye bandiko.
 
Mawasiliano yandelee kufanyika,nyinyi mnaojibiwa huko ngazi za chini kua taarifa zenu zimetumwa ofisi zilizopo Dodoma,na mna miango ya kufanya follow ups huku,tafadhari,endeleeni kufanya mawasiliano mtatuliwe shida zenu endapo hamhitajiki kufika huku,physically kujua mambo yenu yamefikia hatua ipi.
Tuwasiliane.
 
Fanya mawasiliano kwa njia ya whatsapp au kwa call ya kawaida,bila kusahau kutuma sms PM au kwa njia ya kawaida,upigiwe ili tupange ratiba pamoja.
Namba ipo mwanzoni mwa bandiko hili.
Asante.
 
Back
Top Bottom