Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #121
Nyumba nzuri,wengi wao wanafanya laki na nusu nakuendelea,inategemeana na specifications za nyumba husika.Maeneo mengi ya karibu na Jiji hasa Kikuyu, Maili Mbili, Nkuhungu, Makole bei gani?
Halafu watu wengi wanaotaka kupanga wana-specify kua nataka chumba kama ni master bedroom au la,sebule,jiko n.k.,hivyo kukujibu moja kwa moja,inakua shida,maana bei za pango haziko uniform.