Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mdau ambaye una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu.
 
Okoa muda,gharama za safari,chakula n.k. kwa kuwasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,uhudumiwe ukiwa mbali na Dodoma au hata kama upo Dodoma ila huna muda,kwa shughuli za kiofisi na zisizo za kiofisi,zisizokulazimu wewe kuwepo eneo la kutolea huduma uñayoihitaji.
 
Wale wa Medical Council of Tanganyika (MCT),na unawaza sana kuhusu deadline ya uombaji ajira za TAMISEMI,ungana na wenzako kadhaa kwa kufanya mawasiliano ya haraka,ukachukuliwe cheti na leseni.
Hakikisha una-scan barua ya maombi ya vitu tajwa pamoja na kitambulisho cha mpiga kura.Leoleo utapata huduma hiyo kama wenzako wengi.Namba ya mawasiliano ni 0765930855.Wahi tukimbizane na deadline ya 25 April.
Hata wewe ambaye unauhitaji wa kurenew leseni pale MCT,fanya mawasiliano pia,utahudumiwa kwa gharama nafuu kabisa.
 
Mdau ambaye una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu.
Kwa wale wanaorenew leseni zao au kuhitaji vyeti pale Medical Council of Tanganyika,scan barua na kitambulisho chako,tuma kwenye 0765920855,shughuli itakua imerahisishwa.
 
Kunifatia kitambulisho changu cha Taifa pale Nida gharama zikoje boss
 
Kunifatia kitambulisho changu cha Taifa pale Nida gharama zikoje boss
Ulishafanya taratibu zote na una uhakika kitakuwepo pale?
Nataka nijue,ili ijulikane kama ni kwenda pale NIDA na kukichukua ili utumiwe tu au laa! ni vema ungewasiliana kwa 0765920855 ili unifafanulie,Asante.
 
Wewe ambaye umekua ukifuatilia barua ya upandishwaji daraja, unafuatilia ujibiwe barua ya kubadilshiwa kada, unafuatilia barua wizarani ili urekebishiwe majiña yakiyokosewa NIDA, unataka kurenew leseni uko kada ya afya n.k.Fanya mawasiliano,uhudumiwe kwa weledi.Shughuli zote zinafuatiliwa pasipo wewe kusafiri kutoka huko uliko na kwa haraka,kwani kwa wale wa barua,zikiwa zimekamilishwa,mtu wa huduma ya EMS,huweza kukufanyia haraka,ukaipata kwa haraka,endapo kama unajibiwa sehemu yako ya kazi kua barua husika bado haijafika.
 
Ewe mwenye uhitaji wa huduma,mfano leseni ya udaktari na mambo mengine yasiyokuhitaji wewe mhusika kufika Dodoma,tafadhari,fanya mawasiliano usaidiwe
 
Idea nzuri sana..Keep it up.
Uaminifu muhimu sana.
 
Fanya mawasiliano kwa 0765920855 uwasiliane na Dodoma messengers,usaidiwe pasipo wewe kusafiri kutoka mbali kwa suala lisilokuhitaji wewe mhusika kufika Dodoma.Mara utakapofanya mawasiliano,utapata utaratibu uliowazi na rahisi kwako,kupata huduma stahki.Tupigie.
 
Back
Top Bottom