Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Haijalishi upo Katavi,Lupaso au Bukoba,kama unaxhida Dodoma,ambayo hulazimiki kuwepo eneo la kutolea huduma,fanya mawasiliano,usaidiwe kama wenzako.
Huna haja ya safari kwani utasaidiwa kuhudumiwa kwa weledi mkubwa.
Piga au tuma ujumbe mfupi kwenye 0765920855.
 
Ungana na Dodoma messengers,tupange ratiba pamoja,tushirikiane kutatua jambo lako ukiwa huko uliko.
 
Wewe mwenye uhitaji wa leseni pale MCT,Kambarage Tower,ungana na watakaochukuliwa leseni na vyeti vyao,kuanzia jumatatu.
Fanya mawasiliano kwa +255765920855,uwekwe kwenye orodha,kabla ya saa nne asubuhi utakuwa umefanikishiwa na kutumiwa soft copy then baadae hardcopy Kwa njia ya BUS au gari binafsi,inategemeana na mapendekezo yako.
Karibu.
 
Bado orodha ya majina ya wale wanaoshughulikiwa na watakaoshugulikiwa kazi zao,inazidi kuandikwa.Fanya mawasiliano uorodheshe kama wenzako.Namba ya mawasiliano ni +255765920855
 
Ntafanya kwa uaminifu mkubwa.
Tunza uaminifu utakuja kupata bonge la mchongo kama mimi.
Mimi nilikuwa kiongoz wa Viwawa pale PAROKIANI nimemaliza chuo nikajichanga hela za field na boom nikachonga machine ya tofali za block na pavement nikasema ngoja nikomae maana wakunishika mkono kwenye ajira nikaona na degree yangu nianze kufyatua matofali nikawa chawa wa Baba Paroko hivyo akanipa airtime ya kila baada ya misa anarusha tangazo la biashara yangu ya kufyatua matofali tena site kwa mteja(nilikuwa sina specific site) na jumuiya napo nikawa narusha tangazo enzi hizo KIKWETE anaingia madarakani watu wanajenga balaa.Sasa kuna siku Brigedia mmoja akanipa mchongo wa kufyatua matofali kwenye kiwanja chake kinyerezi ili ajenge apartments na frame za duka za kupangisha ikabidi nifanye kwa kutaka sifa ili aapreciate kazi yangu ratio ya cement nikawa naweka mchanga kidogo ili yatoke nondo na yeye huyo huyo akaniconnect na maduka ya pale Jeshini(free duty) Gongo la mboto Cement zikija nanunua kwa bei rahisi na defender ilikuwa inanibebea aloo uamifu bwana yule mzee kwa vile alikuwa busy ikabidi aniachie mi hela kibao niifanye ile kazi sasa nilivyokuwa muadilifu zikabaki kama mil 1.3 hivi hapo mimi na faida zangu nimeshachukua aloo siku anakuja kukagua mradi wake nampa chenchi yake haamini ikabidi anipe na tenda ya usimamizi wa zile nyumba na frame za duka napo nikapiga hela nikampelekea tena chenchi kumbe mule mi nilikuwa nakula hela ila alikuwa anazidisha hela nyingi mno.Anyway to cut the story ni kuwa baada ya hapo yule mzee nikawa ndie msimamizi wa project zake za siri then akanichezesha nami nikapata ajira ya ndoto yangu mpaka leo namuona kama vile baba yangu.
UAMINIFU NI KITU AMBACHO KINALETA CEMENT NA MACHUMA KUJENGA DARAJA KATIKA NJIA ZAKO ZA KIMAISHA.
 
🙏🙏🙏🙏Asante sana.
 
Hata ninyi ambao mmepata rufaa ya kuja Dodoma labda Kwa masuala ya ugonjwa,na mna hofu ya kutopata loji iliyokaribu na hospitali mnazotarajia kuja kupata huduma,mnaweza kuwasiliana na Dodoma messengers Kwa namba iliyowekwa mwanzoni mwa bandiko la hii thread,mkahudumiwa kulingana na matakwa yenu.
 
Collection ya practicing licences zote kutoka MCT tayari,inasubiriwa saa tano vyeti viunganishwe,vitumwe kwa clients.
Kupitia Dodoma messengers,unarahisishiwa.
+255765920855 ndo namba ya mawasiliano.
 
Wale wa transcript,pale Nactevet jengo la NSSF,nawewe fanya mawasiliano uweze kuchukuliwa na kutumiwa huko uliko Kwa gharama za kawaida.
 
Shughuli mbalimbali bado zinapokelewa ilhali nyingine zinakamilishwa.Wasiliana na Dodoma messengers kwa +255765920855 tutatue matatizo pamoja.
 
Back
Top Bottom