Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #221
Wewe wa Bukoba,Mwanza,Dar-es-salaam,Morogoro,Tabora n.k fanya mawasiliano uorodheshwe uwekwe kwenye orodha ya wale wanaohudumiwa.Mawasiliano ni 0765920855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughuli mbalimbali bado zinapokelewa ilhali nyingine zinakamilishwa.Wasiliana na Dodoma messengers kwa +255765920855 tutatue matatizo pamoja.
Whatsapp yenyewe haupo active text zipo pending tuFanya mawasiliano,uwekwe kwenye mpango wa wanaoshughulikiwa.
Simu kubwa nyingine ilipata matatizo,hivyo unaweza kupiga kwa calls za kawaida au kutuma meseji kwa kawaida,utapigiwa kama wenzako.Asante.Whatsapp yenyewe haupo active text zipo pending tu
Asante.Wamo wengi tu,wamehudumiwa na wanahudumiwa,hazuiliwi mtu kuja kutoa ushuhuda humu na baadhi wamehudumiwa,siyo vuzuri kuwataja kwasababu ya secrecy adherence.Mkuu hongera sana kwa hii idea. Unaweza kufanya punguzo kidogo kwa baadhi ya wateja kwa sharti la wao kuleta ushuhuda humu kwa kazi ulizowafanyia ili kukuongezea credit. Kuna members wanaaminika sana humu jukwaani wakisema jambo jema kuhusu wewe watakuongezea wateja.
Sawa.Nina barua nataka uipokee kwenye bus hapo CBE unisaidie kuipeleka wizara ya maji
🙏🙏🙏Brilliant idea mwanangu. Baadae huko weka ofisi na uwe na Mobile App.