Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani,wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao(loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini,kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja,kuwachukulia leseni za udaktari(practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika(MCT),kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano:0765920855
Safi sana....Nachukua No yako
 
Huku ukiendelea na shughuli zako huko uliko,shughuli zisizokulazimu wewe kuwepo eneo la kujipatia huduma Dodoma,zitakua zinaendelea kutatuliwa kama vile wewe upo eneo la kujipatia huduma.Fanya mawasiliano kwa 0765920855 uwasiliane na DODOMA MESSENGERS.
 
Njoo whatsapp,nakupa sample ya barua,unaandika,unaituma,unachukuliwa cheti na leseni then unatumiwa,kwa wewe wa Medical Council,unayehitaji leseni na hata unaye-renew.
 
Mdau ambaye una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu.
 
Medical practitioner ambaye unahitaji kurenew au kupata leseni toka MCT,fanya kunicheki uwekwe kwenye orodha,uchukuliwe na utumiwe kama upo mbali na Dodoma.0765920855 ndo namba ya mawasiliano.
 
Huna haja ya kuja Dodoma kwa wewe ambaye hulazimiki kuwepo eneo la utolewaji huduma.Fanya mawasiliano kwa 0765920855
 
Wa Korogwe,Urambo na kwingineko,tuwasiliane tupange pamoja namna ya kushughulikia jambo lako,huku Dodoma.
 
Epuka usumbufu wa kusafiri kutoka huko uliko ilhali uwezekano wa kuagiza na jambo lako likafanyiwa kazi upo.Fanya mawasiliano tupeane majukumu.
 
Back
Top Bottom