Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Usumbufu was safari,gharama za nauli na muda pia,vinaweza kuepukwa kwa kufanya mawasiliano kwa shughuli isiyokulazimu wewe kuja Dodoma.
Fanya mawasiliano sasa.
 
Endapo una jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatia huduma husika,na uko mbali na Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na shughuli nyingine,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855 uweze kusaidiwa kulishugjulikia kwa gharama nafuu
 
Tuendelee kuwasiliana ili kwa wewe ambaye bado hujaleta shughuli husika,uwekwe kwenye mpango wa kushughulikiwa jambo lako.Asante.
 
Unaweza ukaepukana na gharama za kuja na kurudi kwa kusaidiwa kushughulikiwa suala lako lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kujipatia huduma,Dodoma.Tuwasiliane kama wenzako wanavyofanya.
 
Huna haja ya kuja Dodoma... wewe mwenye shida ya kuulizia bei ya mazao sokoni,kuchukliwa vitu kama leseni TNC au MCT n.k fanya mawasiliano kwa 0765920855 usaidiwe.
 
We pata taarifa tu kua jambo lako halihitaji uwepo wako Ili kulishughulikia,then fanya mawasiliano na Dodoma messengers kwa 0765920855,utahudumiwa Kwa integrity kubwa.
Tuwasiliane kama wenzako wanavyofanya.
 
Huna haja ya kusafiri kutoka huko uliko,kuja kupanga foleni sehemu isiyohitaji uwepo wako kupata huduma ya kiofisi au isiyo ya kiofisi.
Fanya mawasiliano na Dodoma messengers kwa 0765920855 usaidiwe kupata huduma kama ilivyo Kwa wenzako.
 
Vipi nikitaka kuiba Dodoma bila kufika tunaweza kusaidina kwa hilo,mimi huwa ni mwizi wa vitu vidogovidogo kama simu na laptop nahitaji kusaidiwa kuiba laptop Udom
 
Back
Top Bottom