Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #181
Endelea na mambo yako,leta kazi uhudumiwe kama wenzako.Fanya mawasiliano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fanya process Moderator JamiiForums waku verify nadhani itaongeza kitu..! Hongera sana Mungu akuongeze na akubariki kwa kazi hii na fikra hizi! Hongera sanaHupaswi kujisumbua kusafiri all the way kutoka huko uliko,kwa shughuli ambayo haikulazimu wewe kuwepo huku.
Fanya mawasiliano.
Asante sana.Mkuu fanya process Moderator JamiiForums waku verify nadhani itaongeza kitu..! Hongera sana Mungu akuongeze na akubariki kwa kazi hii na fikra hizi! Hongera sana
Ndiyo inawezekana.Unaweza kunitafutia kiwanja maeneo ya nzuguni
Huyu jamaa kanichekesha sana eti interview unapiga? [emoji1787][emoji1787]Daah[emoji28]nchi ngumu sana hii
Wala sio ngumu labda Wananchi ndo wagumu.Daah[emoji28]nchi ngumu sana hii
Tunza uaminifu utakuja kupata bonge la mchongo kama mimi.Ntafanya kwa uaminifu mkubwa.
🙏🙏🙏🙏Asante sana.Tunza uaminifu utakuja kupata bonge la mchongo kama mimi.
Mimi nilikuwa kiongoz wa Viwawa pale PAROKIANI nimemaliza chuo nikajichanga hela za field na boom nikachonga machine ya tofali za block na pavement nikasema ngoja nikomae maana wakunishika mkono kwenye ajira nikaona na degree yangu nianze kufyatua matofali nikawa chawa wa Baba Paroko hivyo akanipa airtime ya kila baada ya misa anarusha tangazo la biashara yangu ya kufyatua matofali tena site kwa mteja(nilikuwa sina specific site) na jumuiya napo nikawa narusha tangazo enzi hizo KIKWETE anaingia madarakani watu wanajenga balaa.Sasa kuna siku Brigedia mmoja akanipa mchongo wa kufyatua matofali kwenye kiwanja chake kinyerezi ili ajenge apartments na frame za duka za kupangisha ikabidi nifanye kwa kutaka sifa ili aapreciate kazi yangu ratio ya cement nikawa naweka mchanga kidogo ili yatoke nondo na yeye huyo huyo akaniconnect na maduka ya pale Jeshini(free duty) Gongo la mboto Cement zikija nanunua kwa bei rahisi na defender ilikuwa inanibebea aloo uamifu bwana yule mzee kwa vile alikuwa busy ikabidi aniachie mi hela kibao niifanye ile kazi sasa nilivyokuwa muadilifu zikabaki kama mil 1.3 hivi hapo mimi na faida zangu nimeshachukua aloo siku anakuja kukagua mradi wake nampa chenchi yake haamini ikabidi anipe na tenda ya usimamizi wa zile nyumba na frame za duka napo nikapiga hela nikampelekea tena chenchi kumbe mule mi nilikuwa nakula hela ila alikuwa anazidisha hela nyingi mno.Anyway to cut the story ni kuwa baada ya hapo yule mzee nikawa ndie msimamizi wa project zake za siri then akanichezesha nami nikapata ajira ya ndoto yangu mpaka leo namuona kama vile baba yangu.
UAMINIFU NI KITU AMBACHO KINALETA CEMENT NA MACHUMA KUJENGA DARAJA KATIKA NJIA ZAKO ZA KIMAISHA.