Fanya mawasiliano,kazi kama ufuatiliaji wa jambo flani hapa Dodoma,iwe kwenye ofisi ya serikali au binafsi, bahasha inatakiwa kupelekwa ofisi flani,mzigo unatakiwa kupokelewa au utumwe kwenda sehemu fulani, vyote hivyo hivyo fanya mawasiliano kwa 0765920855 au njoo PM,utafanyiwa kwa weledi kama baadhi ya wenzako wanaofanya mawasiliano.
Huna haja ya wewe kuja kuanza kuuliza mara ofisi ya Tume ya Walimu iko wapi,mara ofisi za Tamisemi ziko wapi,mara eti nimekuja kupeleka barua sijui ofisi za wizara flani,wakati ungeagiza kwa BUS,ikapokelewa na kufikishwa wizara husika tena kwa wakati.
Vitu ni vingi sana unarahisishiwa,na wenzako wengi wanazidi kurahisishiwa.Karibu.